Wakuu nina jambo la ajabu! Mwaka 2012 nilipima nikawa HIV+ nikatumia doze for like several years ila kama mwaka nimeacha mwili uko poa kishenz nimegain energy sana mpk nahisi sina ile maneno tena! Kuna uhusiano gani kutumia arv's na kua mgonjwa sana na kutotumia ukawa normal (best yangu kapenda...
Katika mambo muhinu yatakayoleta pesa bila shida ni hilo na uhalisia let's say hata wakiweka shilingi hamsini tu watapata income kubwa sana! basi inayotumia 600 lts a day italipa 30000 Kwa siku times 30 Kwa mwezi pekee itakua 900000 Kwa mwaka ni hela ya kutosha! na wakifanya hivyo hata machines...
*D9 Clube inavyowatesa wengi- Imesajiliwa Tanzania? Sio utapeli?*
Na Melkizedeck Karol
Maoni haya ni marefu kidogo lakini nimeona niandike kwa urefu ili nieleweke vizuri.
Nimefuatwa mara kadhaa na marafiki wakinitaka nijiunge na biashara inayoendeshwa na kampuni iitwayo D9 Clube. Pia, wapo...
Bandugi naombeni msaada kidogo hapa road licence ni leseni ya matumizi ya barabara au ni kodi tofauti? Cause kama ndo hivyo machine au gari isiyotumia barabara leseni ya nini? Please naomba msaada kwenye hili
Mtoa mada ana point all in all Joyce alitakiwa aliongeelee hilo la mumewe ndani not as public as alivyofanya! Hivi kama hafurahii what comes after ukuta kwann hakukaa na kujadili na mumewe kama mwili mmoja akatoka nje kwa public? Ndoa ndoano afunge avue Sio kupiga kelele! By the way sidhani kama...
Wakuu Niko Mwanza nimekutana na matangazo kwa ujio wa makamanda ila sikusikia ni viwanja gani Tafadhali update itakua wapi nishiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa mabadiliko.
Ishu ya kugawa majimbo naiona ni upande wa yanayoongozwa na upinzani tu! Vyovyote itakavyokua kuna possibility kubwa kuwapa ukawa more chance of winning. All in all Mbatia atapita Vunjo! Mrema hana chake CCM kwishney. Really fact hakuna jimbo linalojitambua kama Vunjo katika Majimbo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.