Gado unamtafuta nini Rais wetu kipenzi?

Gado unamtafuta nini Rais wetu kipenzi?

493417e349daee34563e9c486dc803ad.jpg

Tena yawezekana huyo Cartoonist GADO akawa na akili kuliko Watanzania wengi ambao ni Wanafiki wa kutukuka. Sijaona ubaya katika hiyo sana sana tungempongeza GADO kwa kuweza kutuzungumzia Watanzania Kimataifa jinsi tunavyopelekwa mputa mputa huku. Ni Mpumbavu tu ndiyo anaweza asimwelewe GADO ila wenye Akili tupo ng'adu kwa ng'adu na GADO na Personally nimefurahia huo mchoro kunakotukuka.
 
Gado tuchore tu kalamu yako mwenyewe,karatasi umenunua mwenyewe hatuwezi kupangia jinsi ya kutuchora
 
Back
Top Bottom