Wanaoesema kwamba ajira haziko Bongo wanakosea.
Fursa zipo nyingi, tena nyingi sana. Kila sehemu ya biashara, kubwa au ndogo ina kusanya data. Kama serikalini kuna ma statisticians, basi the next level ya hapo ni Data Analitics. Data scientist au Data Analyst anaweza saidia kuchambua hizo data...