Shukranii sana kwa ushauri....ila kama umesoma vizuri bandiko langu nimesema nina uelewa katika hayo mamb na sio expert katika izo sehem spring , Laravel framework nimezisoma na najua kuzitumia sijawah fanya project kubwa na izo framework ni mini project ndomana nikaja hapa kuomba sehem nikipata intern nikutane na watu wenye experience nipate uzoefu.......tukiwa chuo tunafundishwa mamb mengi kwa miaka mi3 ila zio sehem nilizo list hapo ndo anagalua niliweka mkazo sehem izo na ajira za leo hazitaki mtu anaejua php zinataka uwe unajua front end technology, JavaScript, backend,database,rest API....kwa wew unavoona utakaa unakomaa na kitu kimoja java pekee huwezi toka lazima usome Advance java kweny ulimwengu wa sasa intakiwa uwe unajua vitu vingi ili uwe competent kweny ajira.....namimi bandiko langu nimesema naomba intern nipate mafunzo ukiwa chini ya usimamozi mfano organization inayojishulisha na undaji wa mifumo no rahisi kutumia ujuzi wako wa spring framework hata kama ni wa level ya kati kujua vitu gan wanafanya kweny industry....................namimi kwa sasa wakati naendelea kujifua ndomana nikaleta bandiko langu ilo we unaongea kwakua yawezekana ni mtu ambaye tayari ushafika mbali kweny haya mamb ila mi ndo naazaa