Recent content by pjo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Viazi mbatata vilivyokatwa

    Asante sana Dada, Ngoja nifuatilie
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Viazi mbatata vilivyokatwa

    Zinaitwaje na naweza pata kwenye maduka yapi dada?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Viazi mbatata vilivyokatwa

    Barikiwa sana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Viazi mbatata vilivyokatwa

    Wana jamvi habarini za mchana, Naomba kujua mwenye uzoefu juu ya kuhifadhi Viazi mbatata "Viazi mviringo" vilivyo menywa na kukatwa kwa ajili ya chipsi ili visibadilike rangi au kuharibika kwa halaka.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Nipigie nikupe business plan nzuri ya kilimo biashara cha ndizi from the scratch had market ilipo na unawezaje kupata mkataba wa soko. 0758701818
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    mwa mbie anipm nitamuendeleza mkuu
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba wa kike aliye sereous, Umri 26yrs Elimu: kidato cha sita na kuendelea asiwe tegemezi dini: awe mkrsto
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume anahitajika.

    Usife moyo kwa wana jamvi wenye mawazo hasi kwako, binafsi nina mradi kama wako niliajiri vijana tangu 2011 hadi sasa nishafukuza vijana wanne sababu tu hawazingatii kazi, sasa angekuwa ndugu ningemfukuza??????? pia kijana utakae mpata hakikisha uwe karibu nae sana.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu amesoma HKL, Uhasibu chuo kikuu itawezekana?

    Me nimesoma HGL na Chuo nikasoma Accounts na sasa ni Mhasibu. Kama alifaulu vizuri Hesabu O level anasoma Accounts bila shida.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Nashukuru sana mkuu kwa ushauri huu na nimefanikiwa kumpata Bwn Paul Mashauri
  11. P

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Wadau nimefurahi sana kwenye jamvi hili na ushauri mnao toa, binafsi nina Mradi wangu wa poultry farming hasa kuku wa kienyeji naamini soko lipo kubwa maana watu wengi wanaondokana na matumizi ya Bloiler nina Incubator machine ya capacity ya mayai 5280 na mabanda yapo fenced ya kuweza kufuga...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Ni pm tu ili tuongee kwa kina
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume warefu weupe

    Naunga mkono hoja asilimia mia
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

    109 tu ila nikipata wengine naongeza
Back
Top Bottom