victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Nyie wanawake nyinyi!, usikute wewe ndio starfish kitandanani,ila unamponda kisa kakutema, sio fresh bana😀
sasa wazungu nao ni weupe
kwa hiyo umesha wa include hapo, halaf pia kuna wa tz wazungu, pia wameingia kwenye group hilo
hahahah nimepata jibu![]()
![]()
![]()
![]()
M AJ ya kunde
Yani nimewaza vivyo hivyoHuu ujumbe kwa hiyo unawahusu na wazungu pia? maana nao ni weupe pia.😀

Pia mpunguze sifa kwenye utafutaji mwenza mtajuta SNA pole laknHapanaa wazungu hawana hizo mambo naongeleo watz
Umetendwa? HahahahaaaaaaaKwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Wewe weeweeehahahha mzee wa swagger ata sijamuona
Khaaa kwani alikua mbele yangu hivi upogo