Mdogo wangu amesoma HKL, Uhasibu chuo kikuu itawezekana?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
592
Habari ndugu zangu JF

Mdogo wangu A_level alisoma HKL na amehitimu tayari na anasema angependa kusomea UHASIBU CHUO KIKUU JE ITAWEZEKANA?

Naomba msaada hapo.
 
Na yupo mwengine kasoma hkl ila degree yake kamalizia chuo cha uhasibu arusha ..mambo ya account....kwa ushahidi huo anaweza akasoma uhasibu bila ya shida ila ajiandae kisaikolojia maaana sup nahisi zitakuwa za kutosha
 
Yes he can. Lakini kama aliperform vizuri Hisabati katika mitihani ya O'Level.
 
Anaweza ikiwa alipata alama zifuatazo.. 1. Alipata alama C ya maths O level
2. Awe alisoma Commerce na Book-keeping o level na alipata alama C au B katika moja ya masomo yake.. mimi nasoma uhasibu kwa vigezo hivyo...
 
Habari ndugu zangu JF

Mdogo wangu A_level alisoma HKL na amehitimu tayari na anasema angependa kusomea UHASIBU CHUO KIKUU JE ITAWEZEKANA?

Naomba msaada hapo.
Me nimesoma HGL na Chuo nikasoma Accounts na sasa ni Mhasibu. Kama alifaulu vizuri Hesabu O level anasoma Accounts bila shida.
 
Na yupo mwengine kasoma hkl ila degree yake kamalizia chuo cha uhasibu arusha ..mambo ya account....kwa ushahidi huo anaweza akasoma uhasibu bila ya shida ila ajiandae kisaikolojia maaana sup nahisi zitakuwa za kutosha
Classmate wangu nilisoma nae o-level na advance akasoma HKL nilikutana chuoni akiwa ana soma Accounts na akafauru vizuri. Kikubwa ni nia na kuthubutu lazima atoboe chuo. Nampongeza kwa kuvhagua kozi zenye ulaji nje nje. All the best.
 
kama ana msingi mzuri wa HISABATI, COMMERCE NA BOOK KEEPING akajaribu bahati yake
 
Back
Top Bottom