Kijana wa kiume anahitajika.

Ndugu habari za usiku! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kijana wa kiume ambaye atakuwa anawahudumia kuku wa mayai.malazi kwangu na chakula,mshahara utaongezeka pindi kuku watakapoanza uzalishaji yani kutaga mayai, kijana awe muanifu na mwenye uzoefu kidogo katika maswala ya ufugaji.
Aliye tayari au mwenye kijana au ndugu yake ambaye hana kazi ani PM tujadili zaidi.eneo la kazi ni mkoa mpya wa songwe.
Ahsanteni sana
Usife moyo kwa wana jamvi wenye mawazo hasi kwako, binafsi nina mradi kama wako niliajiri vijana tangu 2011 hadi sasa nishafukuza vijana wanne sababu tu hawazingatii kazi, sasa angekuwa ndugu ningemfukuza???????
pia kijana utakae mpata hakikisha uwe karibu nae sana.
 
Shughuli za maendeleo na Biashara nyingi za kiafrika zinakufa mapema kutokana na kushindwa kuendesha ikiwemo kuweka ndugu ambao mwisho wa siku inakua ugomvi wa familia kama siyo ukoo....
 
Usife moyo kwa wana jamvi wenye mawazo hasi kwako, binafsi nina mradi kama wako niliajiri vijana tangu 2011 hadi sasa nishafukuza vijana wanne sababu tu hawazingatii kazi, sasa angekuwa ndugu ningemfukuza???????
pia kijana utakae mpata hakikisha uwe karibu nae sana.
Shida ya kumchukua ndugu inakuja hapo kwenye kumuwajibisha akifanya makosa. Kumfukuza itaonekana unamwonea na unaringia mradi wako. Vitaitishwa vikao kibao vya wanandugu sababu hiyo...... Nina mfano halisi wa baba yangu mdogo, familia iko kila mtu vyake na Biashara ilikufa.
 
  • Thanks
Reactions: pjo
Usife moyo kwa wana jamvi wenye mawazo hasi kwako, binafsi nina mradi kama wako niliajiri vijana tangu 2011 hadi sasa nishafukuza vijana wanne sababu tu hawazingatii kazi, sasa angekuwa ndugu ningemfukuza???????
pia kijana utakae mpata hakikisha uwe karibu nae sana.
Nashukuru mkuu kwa kuliona hilo! Unajua ni bora uchukue mtu ambaye ana utayari wa kufanya kazi na sio ndugu yako,ili malengo yafikiwe,sio kwa sababu ndugu yako hana ajira ndo umchukie umpe ajira,hali ya kuwa unaona kabisa hana utayari wa kufanya kazi.na hakuna mtu ambaye atamnyima ndugu yake ajira ikiwa huyo ndugu yake ana utayari wa kufanya kazi na bidii.
 
Vipi mzee ushampata?
 
Achana na mambo ya ndugu..kuna vijana wengi tu wamemaliza certificate in animal health and production tena hap uyole, unaweza kupata mmoja kama mradi wako unataka kuuendesha kibiashara..
 
Back
Top Bottom