Recent content by pino

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kumbi za zamani na ma DJ wake

    Mack B pia naskia nae amekua dereva wa Tax
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Nadhani mleta mada ameshindwa kufafanua vizuri hii ni list ambayo hao tayari walikua wameshashtakiwa na ndo maana unaona mpka majina ya wasiokua wa Tanzania na wengine katika hao tayari walishatoka jela
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Mkuu hata masasi ni Mtwara ila unakatika kila siku!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Salaam Dr naomba kusaidiwa tatizo la kutokupata choo kwa mjamzito ni dawa ipi itafaa kwake?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Baada ya weekend hii hebu uje tena halafu utaona kama tupo pale pale au tumesogea
  6. P

    JamiiForums Tanzania Lampard, Scholes na Gerrard ulimkubali yupi zaidi?

    Paulo shule
  7. P

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kweli dogo ni mzuri lakini nafkir pia kwa team hizi ndogo ndogo maana kama ndo unamtegemea yule game za uefa nadhani bado hatakusaidia
  8. P

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira bwana kitu cha ajabu kabisa yaani watu wameshasahau kabisa kwamba wale waliotoa Droo na United wao walifungwa! Na wengine wanaojita mabingwa walifunga goli la usikuuuu tena la mkono!
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    Nobody by Keith sweat
  10. P

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Game tu hiyo mwalimu apewe muda
  11. P

    JamiiForums Tanzania Toa maoni kwa nini shirika la utangazaji TBC lisifungwe kwa kuingizia taifa hasara

    Mkuu wa mji kila Mara ye ni redio mawingu tu sasa huwa najiuliza station za serikali zitafanya kazi gani
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi mzuri kutoka Arusha atatimiza ndoto zake?

    Dodoma hiyo?
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi mzuri kutoka Arusha atatimiza ndoto zake?

    Shushushu mbona hujasema huyu nae ni nani mbona kama co!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ninalipinga ombi la Rais kuhusu ujenzi wa msikiti

    Sijakuelewa mkuu kwa kwa maelezo yako hapo ni kwamba ALLAH ni kihindi na Kiswahili ni Allwah?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mshana Jr

    Kumbe siku hizi mambo hadharani sasa c mtaje tu hadharani ajulikane!
Back
Top Bottom