ardhi imeficha mengi rip dj mangapi.Dj Mangapi Alimalizia u dj wake pale HIGHWAY NIGHT PACK (kwa macheni)
Kisha akawa sonara kabla haja RIP
ardhi imeficha mengi rip dj mangapi.Dj Mangapi Alimalizia u dj wake pale HIGHWAY NIGHT PACK (kwa macheni)
Kisha akawa sonara kabla haja RIP
Wewe na mimi zamani zetu zinafanana kidogo, lakini zamani zinazotajwa humu mmmh zimezidi mwanangu. Kina Godfather, young millionaire nilikuwa nasikia tu kwenye radio wakitangazwa lakini sikuwa umri wa kuingia club
Dj Kassim -NK Disco Sound (Dodoma)
Namkumbuka sana Julius nyaisanga na kile kipingi chake cha CLUB RAHA LEO SHOW enzi za R.T.DUncle J Nyaisanga ukipenda supper tall.
rip
Daaah!! Mkuu asante sana kwa hii ngoma,umenikumbusha miaka ya mwanzoni mwa 90's au mwishoni mwa 80's hizi ngoma zilitamba sana aisee! Thanks again Mkuu.Very true mkuu Migomba baadhi ya MaDJ na wachezaji wa Disko wakati huo kama hao kina Maneno Ngedere, Athumani DigaDiga etc kwa kweli mi niliishia kusoma kwenye magazeti ya Mfanyakazi na Mzalendo kwa mbali na Lete raha. Pamoja na hayo sitaacha kuthamini mchango wao katika Tasnia hii ya Disco maana thru wao ndo hadi leo tunaweza kukuta kumbi za kisasa za madisco lkn ni kwa revolution kutoka katika kizazi chao.
Kwa kumalizia nakuacha nae Robis na ngoma yake ya show me love hadi wakati mwingine...enjoy!
Very true mkuu Migomba baadhi ya MaDJ na wachezaji wa Disko wakati huo kama hao kina Maneno Ngedere, Athumani DigaDiga etc kwa kweli mi niliishia kusoma kwenye magazeti ya Mfanyakazi na Mzalendo kwa mbali na Lete raha. Pamoja na hayo sitaacha kuthamini mchango wao katika Tasnia hii ya Disco maana thru wao ndo hadi leo tunaweza kukuta kumbi za kisasa za madisco lkn ni kwa revolution kutoka katika kizazi chao.
Kwa kumalizia nakuacha nae Robis na ngoma yake ya show me love hadi wakati mwingine...enjoy!