Recent content by Pilato Mweusi

  1. Pilato Mweusi

    Maoni: Mh Makonda apewe wizara ya nishati tuzike mgao wa umeme

    Haya naweza kusema nimawazo mgando!!!
  2. Pilato Mweusi

    Msaada wa Mawazo kibiashara

    Wakuu poleni na majukumu Mi nikijana ambae nataka kujiajiri sasa napata tatizo kidogo, nimeweza kuanzisha website yangu na pages kadhaa tayari kwaajili ya advertisements sasa nimefika kati kati nimekwama kifedha na bado cjapata fedha ya kwenda ku Register Kampuni bado... Sasa nataka kufahamu je...
  3. Pilato Mweusi

    Kassim Majaliwa: Tuwahoji watoto kuhusu utajiri wanaoupata gafla

    Bible says Hakuna Alie zaliwa Mkia wote ni vichwa sasa natafuta Utajiri niwezavyo ila nisitumie short cut, By working Hard to achieve my goal, Sasa kwel mzaz anihoji nimepata wap utajiri Ili hali Ameteseka kunilea tena kwanza atanipongeza kwa kupata utajiri niweze mlea hahaha saingine wanakosa...
  4. Pilato Mweusi

    Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Kuna kitu bado hamjakielewa, Sipo upande wowote hapa na sizanai kama kuna mwafrika anae mogopa mzungu, Tatizo kitakacho kuja kutuumbua Ni mikataba mibovu viongozi wetu walio pita wali sain, Sasa hawa jamaa they go by law na unajua serikali yetu kwnye maswala ya sheria kidogo haijakaa sawa...
  5. Pilato Mweusi

    Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Ninahamu ya ku comments kitu ila naona ntajibizana na slow leaner wa mambo. Good Evening.
  6. Pilato Mweusi

    Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

    Hahahaha... stressful day ila Nimecheka
  7. Pilato Mweusi

    Wakumbukwe wapenzi wa sekondari

    Daah mm nipo nae mpaka sasa na tunafunga ndoa soon...
  8. Pilato Mweusi

    Lazaro Nyalandu: Nikiwa na mtoto Doreen Mshana tulipomtembelea hospitali

    Nasikia Kulia Machozi Ya furaha, Nyalandu Keep up that Spirit
  9. Pilato Mweusi

    Natafuta mwenza wa kiume

    Enhee Hatari sanaa
  10. Pilato Mweusi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnazingua sana nimelipia umeme mnifungie ila week ya pili hii hamuonekani.. mnataka nikae giza mpaka lini!!??
  11. Pilato Mweusi

    Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Mkuu bado unausingizi rudi ukalale, hii ndoto yako ni yakizamani bado alafu tupo karne ya ishirin na nne, Raia atapelekwaje kwenye maakama ya Jeshi.. Nakushauri Rudi usingizini pengine utapata Ndoto yenye mashiko
  12. Pilato Mweusi

    Wakubwa hii miti kwa Tanzania inapatikana wapi na inaitwaje?

    Dracaena cinnabari, the Socotra dragon tree or dragon blood tree, is a dragon tree native to the Socotra archipelago, part of Yemen, located in the Arabian Sea. Scientific name: Dracaena cinnabari Rank: Species Higher classification: Dracaena
  13. Pilato Mweusi

    Kuna vurugu kubwa maeneo ya stend ndogo Arusha

    Hivi Pia Arusha Kuna Bashite?? Hahaha..
  14. Pilato Mweusi

    Single fathers, mothers and all singles get together party

    Enheee naona Singles Mnaongoza kwa comments Zenu... Mm nipo Under 60....
Back
Top Bottom