Mheshimiwa dr Slaa tumia busara. Na fanya hili kwa watanzania. Kumbuka umepambana kwa muda mrefu kukijenga chama na histiria imeishaandikwa. Sasa twende wote tukamalizie mkia ili tuchukue uhuru kwa mara ya pili. Mzee rudisha moyo hii ni vita lazima tushirikiane na kwa kutumia mbinu ambazo adui...
Namshauri huyo mke mtarajiwa akae chini atathimini hiyo ndoa mara mbili kabla hajaingia. ni bora kuuvua uchumba hata kama aliimpenda sana huyo bwana kuliko kuingia katika ndoa ambayo atakuja kupata matatizo makubwa na aanze kujutia. mume au mke mwema hutoka kwa Mungu na hayo matatizo anayoyaona...
Hongera prof Wambura umeonyesha njia ya kupita ili na wangine wafuate, natarajia nitakuwa mtumiaji wa mwanzo pindi tu chanjo itakapo kuwa tayari sokoni, maana kushika kuku mmojammoja na kumchanja ilikuwa ni kazi kubwa.
Watanzania tunaomba amani sio jingine, kuleta mahakama ya kadhi ni kuingiza udini kwani baada ya hapo wakritu nao wataomba mahakama yao pia nao watataka igharamiwe na selikali kama ambavyo mahakama ya kadhi wanataka. na mwisho ni ugomvi maana kila mtu atavutia kwake. kwavile nchi haina dini basi...
Ni wazi kabisa CCM ndiyo inayokwamisha mchakato mzima, ukianzia pale mheshimiwa alipoendakutoa maoni yake mbele ya bunge la katiba na kulazimisha kwamba kama selikari tatu tusubiri yeye atoke madarakani, hii maana yake nini , yaani wabunge wa chama chake lazima wasimamie maelekezo ya mwenyekiti...
Watanzania tuache imani potofu, kila kitu tunawaza ushirikina. Hatuwezi kuendelea kwa mtindo huu kamwe , kwa nini tusiwaze tu positive, jamani tubadirike.
Rudi bongo ndugu yetu wala hamna aibu yoyote, inaelekea ndugu ndo wanaona aibu wasikusingizie wewe. Bongo mambo ni poa sana ukilima kidogo tu unakula, polusion sio kubwa, social life kwa sana tu njoo ufanye maisha karibu na wabongo wenzio. All the best on ur decision.
Hongera jaji walioba. Mungu yupo mbele yako na wanainchi tupo nyuma yako. Hamna mwingine anaweza dhubutu sema ukweli kama ambavyo unafanya na wengine wote wanafiki tu. Nchi hii itaingia kwenye machafuko sio kwaajili ya upinzani bali ni kwasababu ya chama tawala kung' ang'ania madalaka. Kila...
Lazima atengue kauli yake, hawezi kuwa juu ya sheria hata kama ni raisi na pia tupo nchi ya kidemokrasia sio ya kidikteta ya mtu kuamka tu na kuamuru anachotaka. Nchi ina sheria na wasimamizi na watekelezani wa sheria wapo. Kama anafikiri wanaccm wametobolewa macho na wapinzani vyombo vya...
Kwakweli sikuamini niliyoyasikia kutoka kwa kiongozi wa nchi. Nadhani haelewi madhara ya kauli yake au ameamua kwa makusudi kuchafua amani ya nchi kwani yeye anajua atakako kimbilia. Kwani hajui kama nguvu zote za nchi hii anazo mikononi mwake , ikiwa ni pamoja na majeshi kwanini asiamuru jeshi...
Huyo mama namkubali kuliko wakuu wa mikoa yote , anasimamia anayosema. Huwa nikisikia taarifa zake huwa naacha kila kitu ili nimsikilize , mama endelea kuchapa kazi na tunahitaji kama wewe zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.