RC Tabora na Mkiti wa CCM Mkoa Tabora Hapatoshi!

RC Tabora na Mkiti wa CCM Mkoa Tabora Hapatoshi!

Ndugu mimi kamwe siwezi kuwa upande wa CCM lakini ni vema basi hata kama kinachosemwa kinamuhusu adui yako basi kiwe cha kweli ndio ushabikie lakini kinapokuwa kinawalakini ni vema kujiweka pembeni nacho ili kujiepusha na wewe kuingizwa kwenye kundi la wajinga
mkuu kwani wewe uko tabora au?
 
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku wakulima wa tumbaku waliokuwemo ukumbini wakishangilia na mgeni rasmi akiwa ni waziri wa kilimo.

Hayo yalifanyika huku mkiti wa CCM mkoa akiwa matibabuni India na baada ya kurejea ameuagiza uongozi wa CCM mkoa wa Tabora kuandaa maaandamano makubwa ya kumpokea (Wakasuvi) ili kumuonyesha RC a Tabora kuwa Mkiti wa CCM anakubalika na anaungwa mkono na watu wengi. hadi muda muda huu viongozi wote wameagizwa kuhakikisha kesho Jumamosi wana fika uwanja wa ndege wa Tabora alfajiri kumpokea Mkiti wa CCM anayetoka kwenye matibabu India ilhali madiwani wote wa mkoa wa Tabora wakiambiwa kuwa lazima wafike Tabora kesho tena kwa gharama zao ikiwezekana waende na mashada ya maua kumpokea mtu anayetoka kwenye matibabu hayo yote ni kumuonyesha RC kuwa yeye si chochote na si lolote! tukielekea kwenye uchaguzi wa mitaa na baadae kidogo uchaguzi mkuu.

Yote hayo yanafanyika ili kuficha ukweli juu ya ubadhirifu mkubwa na madeni makubwa dhidi ya wakulima wa tumbaku ambao RC anawatetea kwa nguvu zote huku Mkiti wa CCM akiwatetea wabadhiru hao wa tumbaku na yeye akiwemo
kwa jinsi ninavyomfahamu mkuu wa mkoa wa Tabora tangu utoto wake ni mtu wa haki na kutetea wanyonge
 
Ngoja nifike Tabora nianze kuchochea kuni. Hapa wanaoneshana umwamba wa uchawi na kuana na mkwele.

sawa kaka tukutane mwembe majungu kwa mzee mwasubila au mabanda mapya pale msaka noti au pcm....... full ujinga
huwezi chochea kuni wewe kwa msaada wa nani? bandoma a.k.a fisadi achana na wale walimu watakupoteza. mwasubila ajatoka kwenye system
 
Huyo mama namkubali kuliko wakuu wa mikoa yote , anasimamia anayosema. Huwa nikisikia taarifa zake huwa naacha kila kitu ili nimsikilize , mama endelea kuchapa kazi na tunahitaji kama wewe zaidi.
 
mkuu kwani wewe uko tabora au?

Kuwa Tabora au kutokuwa Tabora hakiwezi kuhalalisha nikakubali kudanganywa, huyo mleta mada hajaeleweka kutokana na uandishi wake yaani Madiwani wa Mkoa mzima wa Tabora washurutishwe kwenda kumpokea Mgonjwa na kuacha shughuli zao za maendeleo hilo haliwezekani ni uongo na narudia tena uongooooooooo! na nimesema kama ni kweli katamka hayo basi huyo Mwenyekiti apelekwe MILEMBE HOSPITAL.
 
sawa kaka tukutane mwembe majungu kwa mzee mwasubila au mabanda mapya pale msaka noti au pcm....... full ujinga
huwezi chochea kuni wewe kwa msaada wa nani? bandoma a.k.a fisadi achana na wale walimu watakupoteza. mwasubila ajatoka kwenye system

Utakuwa umevurugwa nyuma kwanini uweki jina kamili kama unajiamini kenge wewe. Tena hao unaowataja hawana cha kunidanganya.

Any way nimeyaona MaCCM yamekodoa macho pale kwenye ofisi yao ya mkoa. Hamna kitu mnataka kuwaibia wakulima wa Tumbaku nguvu zao. Hata huyo mwizi mwenzenu mliyempa tender ya kubeba Tumbaku lazima akabwe koo na RC.
Gamba wee lililo gomea kiunoni.
 
sawa kaka tukutane mwembe majungu kwa mzee mwasubila au mabanda mapya pale msaka noti au pcm....... full ujinga
huwezi chochea kuni wewe kwa msaada wa nani? bandoma a.k.a fisadi achana na wale walimu watakupoteza. mwasubila ajatoka kwenye system

Njoo nikununulie kitimoto kisha upate na bia ila sharti ujue utapakatwa baada ya hapo.
 
Kuwa Tabora au kutokuwa Tabora hakiwezi kuhalalisha nikakubali kudanganywa, huyo mleta mada hajaeleweka kutokana na uandishi wake yaani Madiwani wa Mkoa mzima wa Tabora washurutishwe kwenda kumpokea Mgonjwa na kuacha shughuli zao za maendeleo hilo haliwezekani ni uongo na narudia tena uongooooooooo! na nimesema kama ni kweli katamka hayo basi huyo Mwenyekiti apelekwe MILEMBE HOSPITAL.

Tayari Mwenyekiti mgonjwa kesha pokelewa na bodaboda, magari na green gud wapo ofisi za CCM(W) wakisubiri ujira wao
 
Back
Top Bottom