Recent content by PIDDLE

  1. PIDDLE

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Kwani kuna shida gani kuwala hao na pia wanautofauti gani na unaowaona mtaani kwako hawa hawa wa online ndo tunaoishi nao mitaani kwetu hawatoki sayari nyingine, wengine ni dada zetu,wadogozetu, mama zetu, mamdogo, shangazi na bibi zetu na wake zetu pia. hata hela wanazopata ndio wanalisha...
  2. PIDDLE

    Jinsi wasomi wanavyodhalilishwa Bungeni

    Siasa pia ni taaluma tunatakiwa kujua kwanza nini maana ya siasa ndipo tuendelee na mengine.
  3. PIDDLE

    Jinsi wasomi wanavyodhalilishwa Bungeni

    Umeongea ukweli kabisa alipoongea Prof Assad kuwa bunge ni dhaifu hakukosea na hakupewa muda aeleze ni kwanini bali alishambuliwa na kuondolewa na hata Muhongo kila hoja ya kitaalamu anayotoa anapingwa na kushambuliwa bila hata kuichambua hoja hiyo kwa undani Mwalimu nyerere alifikiria mbali...
  4. PIDDLE

    Jinsi wasomi wanavyodhalilishwa Bungeni

    zima kifanywe kwanza na wajiolojia na alikuwa anaeleza kwamba badala ya kuelekeza nguvu zote kwenye umeme wa maji ni wakati sasa wa kuangalia pia uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vingine ni kwasababu ameshaoversee impact zake akatoa mfano tukiwekeza kwenye wind, gas, geothermal, coal na...
  5. PIDDLE

    Wimbo wa taifa enzi ya ukoloni

    Mungu ibariki Afrika Noti za muziki wa nyimbo Enock Sentonga,mtunzi wa wimbo wa Nkosi Sikeleli Afrika Mungu Ibariki Afrika ni wimbo wa taifa wa Tanzania. Jina linatokana na maneno yake ya kwanza. Asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel' iAfrika wa Afrika Kusini. Enoch Sontonga ndiye mtunzi...
  6. PIDDLE

    Mystery coin and Macao Lin coin

    Ok thanks mkuu
  7. PIDDLE

    Mystery coin and Macao Lin coin

    Pia kingine kilichonishinda kufanya tathmini kwenye hizo sarafu hazijaandikwa thamani ya coin zenyewe kwa exchange rate zaidi ya sarafu zenyewe kuwa na nyota
  8. PIDDLE

    Mystery coin and Macao Lin coin

    Nimejaribu kugoogle site mbalimbali nimekosa ndio maana nikaileta kwa nyie wataalam nipate elimu ya hiyo kitu
  9. PIDDLE

    Mystery coin and Macao Lin coin

    Wadau naombeni wenye uelewa na hizi sarafu anidadavulie zina maana gani, nchi zilipotokea na thamani yake. Najua jukwaa hili lina wataalamu na wabobevu wa mambo mbalimbali tena kwa kina. Karibuni
  10. PIDDLE

    Kikuuu wababaishaji

    Ya mikocheni pale
  11. PIDDLE

    Kikuuu wababaishaji

    Nenda ofisini kwao pale shoperz plaza utapata mzigo wako afu pia ni bora bora ukaandika self pick ukawa unaenda kuchukulia oficini kwao maanake wale ma rider ndo wamekuwa wasumbufu zaidi
  12. PIDDLE

    Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Mi Nakupenda Katoto Kadhuri Kutoka Thebuleni Kwa Moyo Wangu
  13. PIDDLE

    Wadau hii imekaaje. Huyu mwanaume tumuweke kundi lipi?

    Daah Mwisho Wa Dunia Unakaribia Nimecheeka Aisee
  14. PIDDLE

    Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

    Stimu Nzuri Ni Pale Unapotamani Ukutane Nae Afu Ni Mkeo Au Mumeo Na Mnaishi Pamoja
Back
Top Bottom