Wadau naombeni wenye uelewa na hizi sarafu anidadavulie zina maana gani, nchi zilipotokea na thamani yake.
Najua jukwaa hili lina wataalamu na wabobevu wa mambo mbalimbali tena kwa kina.
Karibuni
View attachment 1445931View attachment 1445932
Pia kingine kilichonishinda kufanya tathmini kwenye hizo sarafu hazijaandikwa thamani ya coin zenyewe kwa exchange rate zaidi ya sarafu zenyewe kuwa na nyotaHiyo ni Sarafu ya Nchi ya Macau, ni nchi yenye utawala wake lakini ipo chini ya China.
1macau lin= 289Tzshs, current exchange rate.
Pia kingine kilichonishinda kufanya tathmini kwenye hizo sarafu hazijaandikwa thamani ya coin zenyewe kwa exchange rate zaidi ya sarafu zenyewe kuwa na nyota