Recent content by PgSoft2008

  1. PgSoft2008

    Nahitaji bodi ya Mitsubishi Pajero IO

    Wadau, nahitaji body yenye hari nzuri ya Mitsubishi Pajero IO. itapendeza kama litakuwa na gia boksi na mfumo wa wire usiochezewa.
  2. PgSoft2008

    Natafuta BAZUKA GEL

    unfortunately not Sent using Jamii Forums mobile app
  3. PgSoft2008

    Natafuta BAZUKA GEL

    nimekuwa nikitafuta hii dawa bila ya mafanikio hapa Dar Es Salaam bila yamafanikio. msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. PgSoft2008

    Hivi ni kwanini Watanzania wameisusa TBC , hata baada ya local Channels kuzimwa ?

    Busara ni pamoja na kuficha hisia zetu. Mlifanyalo halina afya. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. PgSoft2008

    Polisi Arusha wafanya unyama wa Kutisha

    Point. Polisi wakifanya kosa mara nyingi wao ndio huandika jarada, kufungua kesi na kujichunguza pia. To be fair, there is a need of involving independent entity especially when the matter is about them. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. PgSoft2008

    Nimepokea spare za simu yangu niliyo ipoteza kama mwezi mmoja uliopita

    Kama wiki tatu au mwezi mwezi mmoja uliopita nilipoteza simu yangu aina ya Lenovo K5 pamoja na vitu vingine wakati nikisafili kati ya Confort hoteli maeneo ya kitonga na Igumbilo cheki pointi Iringa. Simu iliyo potea ina matatizo ya display pamoja na housingi, kwa ufuti inawaka lakini display...
  7. PgSoft2008

    Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge kuhusu kusudio la kumwondoa madarakani Naibu Spika Dkt Tulia Ackson

    Michango ya hivi shida sana .. niko njia panda sijui nani nonsense mchangiaji au waliosemwa
  8. PgSoft2008

    Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge kuhusu kusudio la kumwondoa madarakani Naibu Spika Dkt Tulia Ackson

    Sijui kwa nini wengi wanapredict matokeo wakati Neil picha linaanza. Tusubiri at least hoja imepokelewa na kukubaliwa
  9. PgSoft2008

    Hivi wazungu wamegundua dawa ya HIV na hawatuambii?

    This is what we read from books. Matibabu ya ukimwi yanafanyika kwa mitindo tofauti. Je unajua ukipata ukimwi ndani ya siku Saba unatibika? Why ? Je unajua mtoto aliezaliwa na ukimwi anaweza pona ndani ya five years kwa combination za ARVS . Let us think out of the box
  10. PgSoft2008

    Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Kaka minyoo pia husababisha kikohozi. Sijui kwa utaalam wako inapimwaje?
  11. PgSoft2008

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Some are thinkers and others are implementers. We have serious problem of choosing among the two.
Back
Top Bottom