Hivi ni kwanini Watanzania wameisusa TBC , hata baada ya local Channels kuzimwa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,365
2,000
Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !

Hii inamaanisha nini ?
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,802
2,000
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
 
Pole sana mkuu , unajua siku zote sikufahamu kama wewe ni mfanyakazi pale TBC , lengo langu halikuwa kuwasakama TBC bali nilijikita kwenye ukweli unaozunguka nchini Tanzania
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149

Ni vigumu sana na mno Kutofautisha TBC, IKULU na CCM na CCM, TBC na IKULU. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
ighaghe

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,171
2,000
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.

Walipiga deki kwa ajili ya Mh lowasa si chadema. Hata mikono ilizungushwa na kamsemo ka mabadilikooo' Lowasaaa' Lowasaa' Mabadilikoo.. Walionyesha imani kubwa kwa kada huyu mtiifu wa Ccm na si chadema.
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,784
2,000
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
jamaa mse**nge sana wewe Pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,424

Jibu swali acha mihemuko.

Swali ni moja TBC, umechanganya mambo mengi hadi ya uchaguzi yanini, halafu utafiti siyo lazima upite kila dirisha kuna kitu kinaitwa sampling techniques.
 
Sumve 2015

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
3,650

Hawa watu was he.nzi sana, wanahisi watu wote wanamuda mchafu wa kukaa wanatukana mitandaoni, watu wanakaa kimya wanasoma ushenzi wao na kujiondokea basi wanaona wao ndo "watanzania".. upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,802
2,000
Pole sana mkuu , unajua siku zote sikufahamu kama wewe ni mfanyakazi pale TBC , lengo langu halikuwa kuwasakama TBC bali nilijikita kwenye ukweli unaozunguka nchini Tanzania
Mkuu ku guess eti nafanya kazi TBC hakufanyi tafiti yako kuwa kweli. Mi nina zaidi ya mwaka tangu niangalie TV niko bize sana. Ila siwezi kuwasemea watanzania eti wanaangalia chanel fulani. Huo ni Upungufu wa kutumia akili. Mtu yeyote anayetumia LOGIC kufikiria hawezi kukubaliana na wewe. Sema ndugu zako au rafiki zako wote hawaangalii TBC tena. Msiwe mnawasemea watanzania ni UPUMBAVU.
 
Evari77

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
507
500
Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !

Hii inamaanisha nini ?
Utafiti umefanya wapi bar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
absamb

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
541
500
Bure kabisa,si kila sehemu ni pakuingizia siasa mkuu.
Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,051
2,000
Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !

Hii inamaanisha nini ?
tunaangalia maisha magic bongo
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,802
2,000
Swali ni moja TBC, umechanganya mambo mengi hadi ya uchaguzi yanini, halafu utafiti siyo lazima upite kila dirisha kuna kitu kinaitwa sampling techniques.
Sawa nakuelewa ila hiyo sampling kaifanya wapi na lini?., % ngapi ya watu kawauliza na wa mikoa gani?., huwezi kuwaongelea watanzania milioni 50 eti wanaangalia chanel fulani. Sio kweli. Tuache ushabiki wa vyama tuongelee uhalisia hapa.Najua jibu unalo ila unakomaa kumsupport huyo jamaa sababu mpo upande mmoja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom