Hatamie najiuliza maswali sipati majibu.ngoja tuone.Hivi ndugai yupo kweli?
Nilijua bunge lazima wangemtetea mteule wa mfalme
Ni kweli najua watashindwa kutokana na wingi wa wabunge wa CCM ambao wengi watapiga kura kihafidhina na kizandiki na kuwaogopa wakuu zao na sio wananchi wao.UKAWA wataondoka mapema sana mchana kweupe kabisa hakuna watakachoambulia kwenye hili.
Michango ya hivi shida sana .. niko njia panda sijui nani nonsense mchangiaji au waliosemwaNilishasema Lisu, Zito,Mbowe & Co. wanajifanya wajuaji lkn ni vilaza wa mwisho Duniani, hivi kweli unategemea Bunge linaloongozwa na CCM ambayo ina Wabunge zaidi ya 200 upeleke hoja ya kumuondoa Spika wa Bunge ambaye ni CCM na Ufanikiwe?
Hii sijawahi kuiona wala kuisikia sehemu yoyote ile Duniani!
Haya sasa kuonyesha kwamba akina Zito, Lisu ni vilaza siku hiyo sijui ya kura Naibu Spika ndiyo atasimamia Bunge, sasa Je watakuwepo Bungeni au watatoka?
Hawa jamaa wanatupotezea tu muda, kwangu mimi hata wakipigwa marufuku forever warudi kwao Kishumundu poa tu, kuwa na watu vilaza ni gharama sana kwa nchi au kama vipi Lowasa awaajili kwenye kampuni zake kwa maana hii nonsense!
Kama hujui kanuni nyamaza, unaonyesha ulivyo mpuuzi mjinga na isie na weledi wa mambo ya bunge. Kuwa mke wa Kitwanga hakukufanyi ukajua mambo.
Aliyekwambia kikao cha kumjadili Naibu speaker anaongoza anaejadiliwa ni nani? Kengemaji