Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr. shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr. Shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje Shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC, Jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr. Shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauriana na Dr. Shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini Shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume Jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p