Recent content by PG277

  1. PG277

    JamiiForums Tanzania Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

    HAHAA et reset button.....ila ni kweli mbele kuna kiza kwenye hizo nchi za magharibi na ni kama kila mtu kachanganyikiwa.
  2. PG277

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

    HAHAA... humtakii mema.
  3. PG277

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wafanikiwa kuusambaratisha urafiki wa Nikki Mbishi na Wakazi

    Ishu hapo ni pesa...so sio ujinga kumchana mtu ambaye unaona anakuzibia usipate hela.
  4. PG277

    JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Umeongea kwa hisia sanaaa. Ni ujinga kiukweli
  5. PG277

    JamiiForums Tanzania Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Kwani aliyeanza kufunga sio wao wenyewe?? Sisi tunaiga tu walichofanya wao.
  6. PG277

    JamiiForums Tanzania Wazungu itawauma sana kushindwa fikra na Muafrika

    Namkubali sana rais wangu aisee. Najivunia kuwa na rais kama JPM.
  7. PG277

    JamiiForums Tanzania Nani Meneja biashara wa Harmonize?

    😁
  8. PG277

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Magufuli is failing Tanzanians and East Africans

    Facts🙌
  9. PG277

    JamiiForums Tanzania Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    HAHAAA...hatari sanaaaaaa.😋😋😋
  10. PG277

    JamiiForums Tanzania Harmonize kamrudisha Rich Mavoko kwenye game upya

    Hii bonge moja la point aisee. Natamani mavoko a.k.a mesi wa bongofleva asome huu ujumbe wako. All in all tunamuombea arudi tena kwenye game.
Back
Top Bottom