Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

Kuna watu wanaijua nchi hii kuliko nyie wapumbavu wachache mlioijua nchi kupitia corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mpuuzi hii nchi niyetu sote na tunayohaki kutoa maoni especially tunapoona maisha ya watu yanapotea!!

Majinga yasiyo conscious kamawee yanafikiri viongozi wanajua kilakitu kwahiyo yamewakabidhi maisha yao!

Acha ujuha ujuaji hata nchi jirani wanafunga mipaka na hawataki kuongea na kiongozi wako kwakumuona hajali maisha ya watu naye amekuwa mkaa mbali(wakujificha) yanapotokea matatizo.

Nikama Jambazi anavamia nyumba baba unakimbia hku ukiiambia familia wasiogope toka zamani majambazi huvamia majumba!! Wasali,watumie mitishamba nk
 
Tumuunge mkono raisi wetu hizi porojo zingine hazina maana yoyote, alafu watanzania muache ulalamishi na kujifanya kila mtu anajua kila kitu.

Mnatuaibisha kwa pumba zenu we mtu anasema rahisi hajahudhuria kwa sababu ya lugha kweli. Mmezidi
 
Kwa hiyo Tanzania ni kundi moja na Burundi kwa sasa na wenzetu wametutenga au? Mimi hata sielewi!
Kulikuwa na shida gani kuudhuria tuu hicho kikao hata kama hatutakubaliana na resolutions ya kikao?
Tulishindwa hata kuweka mwakilishi asikilize tuu mradi tumekubali wito! Aghrrrrr!
 
We mpuuzi hii nchi niyetu sote na tunayohaki kutoa maoni especially tunapoona maisha ya watu yanapotea!!
Majinga yasiyo conscious kamawee yanafikiri viongozi wanajua kilakitu kwahiyo yamewakabidhi maisha yao!...
Hakuna mtu amekuzuia kutoa maoni!
Unaposema hajali raia wake una maana gani? Unataka aje akubebe mgongoni ndio useme ana kujali?

Au unataka afanyaje hasa hebu funguka, Kama ni isue ya corona, mbona miongozo ya kujikinga imeshatolewa au unataka mapaka aje aseme ujifungie ndani kama mnavyotaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio lugha, hao walio hapo wote wanaweza ongea kiswahili fasaha. Tatizo ni kujifanya mjuaji, anadharau wenzake, ila na wao piia washajua wanadeal na jinga kwa hiyo wanaliacha na ujinga wake hawana muda naye. Hakuna jitu jinga ka jiwe dunia nzima kwa sasa hivi, yupo in denial, ego inamsumbua sana
Ni babaako yule au mamaako hajakwambiaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye hasara zaidi ni Zanzibar
Karibuni hivi Zanziba itaruka kimanga,
Hii ni nchi Bana, na ina Rais wake na Wizara yake ya Afya,
Afya si suala la Muungano,
Common Interest hapa hakuna, watatuacha tuu.
Zanzibaaaaaaaaaaaaaaaar!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Hii mistari yako miwili ya mwisho ingestahili mjadala wa kina, lakini huwezi ukaupata hapa JF.

Nadhani Zanzibar sasa hivi wanayo nafasi nzuri kuliko wakati mwingine wowote tokea tuungane - kutumia hali iliyopo kujiuliza maswali mhimu kwao, na wakitaka waanzishe utaratibu wanaoona unawafaa.
Ukweli ni kuwa % kubwa ya viongozi wa CCM na serikalini Zanzibar wana asili ya Tanganyika au ni agents wao. Wamefanya hivyo kwa makusudi ya kujiwekea base ya kufanya yao. E.g. Mwinyi, Shein, Seif Iddi, Masauni, Ramia, Balozi Amina na wengine wengiii!
 
“agreed to adopt a harmonized system for certification and sharing of COVID-19 test results,”

Hii ina ubaya gani? Kwa nini hatutaki kuharmonize/kushirikiana katika vipimo vyetu vya maambukizi? Wasiwasi nini? Shirikianeni
 
Back
Top Bottom