Habari wana jamvi, nina simu aina ya Samsung nilikuwa niliuziwa na mtu, kwa bahati mbaya hii simu kumbe ni zile za mkopo za M Koba Ya Uganda, nimekuwa natumia vzr lakn leo imejifunga na inaomba kulipiwa bahati mbaya mm sijui hizo namba za kulipia za Uganda, km kuna mtu anaweza kujua namna ya...