PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
- Thread starter
- #21
Kijana gani simuamini aliyeonyesha njia?Kwanini humwamini ili hali ni kijana aliyeonyesha njia kwa vijana wengi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utakuwa umechanganya jina,sijamuongelea ruge sehemu yeyote kwenye hii sredi zaidi ya kuuliza lile swali la tuhuma kwamba redio imejaa mashoga na watangazaji wanaliwa kama mboga.