Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020

Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020

PetterIsuti

Senior Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
118
Reaction score
28
Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020 maake mimi nimeipata kwenye apkpure lakini inaniomba mpk niidowanlod kwenye play store, kama kuna mwenye maujanja zaidi anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba play store bado hawajaiweka
Screenshot_20191229-201105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nacheza First Touch Soccer.... Ni kampuni hiyohiyo ya DLS sema waliacha kulitengeneza.
 
Back
Top Bottom