Recent content by Peter Simba

  1. P

    PICHA: Rais Msitaafu Jakaya Kikwete akiwa na mwanae Ridhiwani Kikwete shambani

    mzee kachoka haraka sana aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    kama nchi hii kuna mtu anatakiwa kunyongwa hadharani ili iwe fundisho kwa watanzania wengine wanaoshabakia wizi tena wa dhailii bin shairi ni tundu lissu
  3. P

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    nazani kuna mengi umepitia na kuwaza mpaka ukafikia hapo lakini uyo ni ibilisi tuu na ameshajua km akikuacha ukawa rafiki wa Mungu basi utakuwa kikwazo chake kikubwa sana,,nakuomba sana anza kurekebisha urafiki wako na Mungu,,hakuna aliye rafiki wa Mungu akajuta au akahaibika duniani...
  4. P

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Kwa hali ilivyokuwa mwaka 2015 ndani na nje ya chama,,kwa kweli bila jitihada za M/kiti mstaafu,,Katibu mkuu Mzee Kinana na Nape kwa kweli tusingerudisha dola hata kama mgombewa wetu alikuwa ni bidhaa sahihi kwa wakati husika na hilo linajidhiilisha sasa kwa UTENDAJI NA UFANISI WAKE ila ni...
  5. P

    TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

    Pascal Mayalla, Zamani hakuna idara ilikuwa na heshima kama Tiss,,heshima iyo haikuwepo kwa nidham ya uwog au walilazimisha kuheshimiwa,,HAPANA ila WELEDI,,USIRI NA UMAKINI wa watumishi wa idara husika. Kazi kubwa ya Idara hii ni INTELIJENSIA na kazi iyo ufanywa na watu wenye uwezo mkubwa...
  6. P

    Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

    wee jamaa sound sana!!!
  7. P

    Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    wee ni mpuuzi kuliko hata yule aliyeitwa mpuuzi,,nyie ndio mnapaswa kurudisha vyeti vyenu vya social science certificate coz hata hujui ni kosa kumuonyesha mtu hata kisu,,je bastola?hakuna aliye juu ya sheria. Mtatumiwa sana mabwege nyie na cku mkizinduka,,kwisha hbr yenu!!=
  8. P

    Hii ni kick ya wazi kwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

    kama ccm ni mafiga 3 basi figa moja ni Nape,,cjui km chungu kitakaa jikoni tena
  9. P

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    me mwenyewe mwana ccm ila kama kweli nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na haki,,Mh Rais amwamulu mkurugenzi mtendaji wa baraza atoe vyeti vya Makonda AZARANI..Taifa lina HAZINA KUBWA LA VIJANA TENA WENYE ELIMU NZURI,,WAFANISI WAZURI WA KAZI,,kwa nini Mh Rais anamng'ang'ania Makonda?kuna...
  10. P

    Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    kijana lijali hawezi kuongea upuuzi kama huo sehemu kama hii,,labda hao mabinti wa uwanja wa fisi
  11. P

    RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

    me sijaona cha maana alinachonacho mpaka wampe nafasi iyo na ukifatilia mikoa yote aliyopitia kavuluga ukianzia dodoma,,njombe hata cngida
  12. P

    Embu tuzijadili benki zetu kulingana na ufanisi wao

    hakuna sheria inayosimamia kikamilifu taasisi za fedha dunia inayoruhusu makampuni ya simu kutoa mikopo mikubwa kama ivyo so huo ni uwongo pia izo kampuni za simu iyo shughuli ya utoaji mikopo sio kazi yao kuu thats why wametakiwa kufungua mabenki kwa ajili ya huduma za kifedha
  13. P

    CHADEMA tujitathmini upya kama hii mbinu ya kuwazulia kashfa ya vyeti wabaya wetu itatuvusha 2020

    ukiona mmefikia uko,,jua tamati yenu imewadia mkuu!!!
  14. P

    Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    hapana husiseme ivyo ingawa alikuwa anafanya biashara ya bidhaa halamu lakini hujui alikuwa na mzigo kiasi gani?hujui chanzo cha mtaji wake either alikopa?pia week 2 zilikuwa hazitoshi watu kumaliza stock yao
  15. P

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    ameimba nyimbo gani uyu jamaa?
Back
Top Bottom