Recent content by peter odada

  1. peter odada

    Kuna mtu nimemzimikia

    Wanawake wasiku izi za mwisho ni balaa tupu.... Kama unampenda....mwanbie ila ukikataliwa usimtangaze vibaya. Kula MTU ana haki ya kuwa na mahusiano na type yake.
  2. peter odada

    Starehe yako ni ipi?

    Mimi napenda sana bangi hats nisipi vuta nikiona watu wanavuta roho inatulia
  3. peter odada

    Huyu msichana mimi simuelewi

    Kaka usirudi nyuma uyo atakutesa bandio makusudio yake. Kanae mbali ikibidi hama hapo kabisa,watoto was zuri ni wengi sana
  4. peter odada

    Changia kutoa tafsiri ya sms hii

    Ushoga uo moeleke Baba ako
  5. peter odada

    Nimempa mimba mke wa mtu lakini kaniambia nisiogope

    Baba and as matako na wewese maana sikuzako zina hesabika
  6. peter odada

    Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    Nivyema akafanya ufugaji pamoja na kilimo kwasababu via naendana angekua karibu ningemsaidi mawazo lakini pia hapa naweza mshauri upande was kilimo kuna changamoto kubwa sana afanye utafiti kwa wakulima wakati ajue wao wanaendeshaje kilimo na pia kilimo sasa ni chakumwagilia ndo kinalipa so...
  7. peter odada

    Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Apo ulipo umevachupi au umefunga msuli basi achakulia tema mate ni mchape
  8. peter odada

    Natafuta mke

    Naitwa Peter Odada, miaka 31 Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma) Kazi biashara makazi Kilimanjaro. SIFA ZA MKE Awe na elimu kidato cha 4 nakuendelea, rangi maji ya kunde, mwembamba.
  9. peter odada

    Ndiyo utagundua kwa nini alipenda kuhimiza maandamano

    Hamna MTU mwenye haki ya kumtukana wenzake hapo umekosea dada Mudawote ukumbuke mzee Aikaeli ndo alimpa Nyerere nauli ya kwenda uingereza kujieleza anataka Uhuru was nini.....karibia majengo tote ya Maji was Moshi ni ya familia ya kinamboe..... Mboe amekuta ela zakutosha unga hana mda...
  10. peter odada

    Hivi Bangi Huwa ina nini? Haya ni machache yaliyowahi kuniacha hoi

    Bangi haina shida...chochote.... Kikizidi nishida...hata ukila sana waweza Ku vimbiwa au iwefood poison kabisa...
  11. peter odada

    Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Hivyo nihali ya kawaida kwa jinsia zote ukikaa bila kufanya ngono nyege zinakusukuma kufanya ngono,watu wengi hupata magonjwa wakati kama huo ulio nao ikiwemo ukimwi na mimba zidizo pangwa na kushauri Fanya mazoezi tumia maji baridi kuoga kaakaribu na wanaume wafanye marafiki lakini usisahau...
  12. peter odada

    Natamani kumuacha ila nashindwa

    Huyo hana lolote,anajua unampenda .....na anakukomesha, atafune pesa zako,....na itakua amesha watangazia wenzie amekukamata...(umezimika) Wewe achana nae kabisa, usimwonyeshe kama umemuacha.....wewe usimpe ushirikiano jifanye ukobize, lasivyo nashule itakushinda.
  13. peter odada

    Diplomasia imeshake - wachina siyo rafiki zetu tena, world bank/ulaya/USA hawataki hata kutusikia

    Kama haujui hakuna haki yakuongea ....wachina wanafanya tembo na faru wetu wanaisha... Wamegoma kufunga masoko yao. Sioni umuhimu wakua marafiki mnafiki.
Back
Top Bottom