Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

Huwaga inatakiwa mtu yemwenyewe awe tayari na msukumo wa kitu flan, ukishaona umeanza kuuliza watu wengine ndoto zako ni hatari sana.
 
Ni vizur kilimo yategemea ana mtaji wa shilling ngap na yeye ana interest na aina gan ya kilimo na anakaa mkoa gan (ardhi) Ndo tutaanzia hapo
Kama anataka ni mchagulie na yenyewe sawa
 
Ni vizur kilimo yategemea ana mtaji wa shilling ngap na yeye ana interest na aina gan ya kilimo na anakaa mkoa gan (ardhi) Ndo tutaanzia hapo
Kama anataka ni mchagulie na yenyewe sawa
Naomba upitie hii thread tangia mwanzo,naamini utapata maelezo ya hoja yako. Pia uendelee kutoa ushauri.
 
Mwambie aende mnada wa Mkongeni huko atapata mbegu nzuri za kimasai. Ila ni vizuri pia akachanganya na mbegu za wafugaji wengine kama 'Wamang'ati'na 'Wambulu' ni wavumilivu na huzaliana.
Akiwa na mwenyeji mzuri atamsaidia kupata mbegu ya mbuzi wenye kuzaa mapacha.
Huu ni mradi mzuri sana hakika hatajuta.

Kisima habari za siku mkuu. Imagine baada ya kuona comments zako ndio nakumbuka kwamba nahitaji kukuona toka long time. Nitakucheck ili tuweze kuonana kama ambavyo tuliwahi kupanga hiko nyuma. Hivi Mkongeni iko sehemu gani? Inasemekana kuzaa au kutokuzaa mapacha kwa mbuzi ni dume ndio anayedetermine na si jike, je ni kweli?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Naomba upitie hii thread tangia mwanzo,naamini utapata maelezo ya hoja yako. Pia uendelee kutoa ushauri.
Kuuliza hivyo kuna maana yake MTU kama anapenda cabbage ukimshaur kupitia kitu anacho kipenda atakifanya kwa moyo mmoja cause kimo akilin mwake pia huwez kumshauli kilimo ambacho kinazid mtaji wake kwenye maandaliz ardhi pia
 
Huyu mwomba ushauri keshachagua ufugaji! Shauri juu ya ufugaji.
 
Mrejesho: Baada ya kuwasiliana naye,kasema kabla hajaomba msaada kwangu,alikuwa tayari kaonyeshwa eneo la ekari 8 alinunue. Amesita kulinunua kwa vile hajajishauri vya kutosha alime au afuge! Aliambiwa bei ni 5 M. Na ameona bora apate ushauri wa kutosha kabla. Hii ina maana yuko tayari kupokea ushauri wako!
ARDHI.NI MALI KULIKO PESA ANUNUE KISHA AANZE NA KUFUGA KISHA AENDELEE NA KILIMO!
 
Nina rafiki yangu amestaafu utumishi wa Umma. Anataka afanye investment katika kilimo au ufugaji. Ameniomba ushauri kumchagulia awekeze wapi?
Kwa vile jukwaa hili ni la ushauri,naye siyo mwanachama,naombeni ushauri kulingana na hali halisi iliyopo sasa.
Kama hajawahi kufanya kilimo at all huko nyuma mshauri afanye ufugaji atleast ni risk ndogo kuliko kilimo,
Kilimo unaweza pata faida mara2 mara ya3 hasara haina consistent lakn pia kama sio mvumilivu ataumia na kupoteza pesa bure asitamanishe na hesabu za kilimo za kwenye makaratasi mie nipo kite kote kwa ushauri wangu bora afanye ufugaji ama kama anapesa ndefu awekeze kwenye kuongeza thaman mazao ya kilimo na sio kuengage kwenye kilimo directly
 
Nivyema akafanya ufugaji pamoja na kilimo kwasababu via naendana angekua karibu ningemsaidi mawazo lakini pia hapa naweza mshauri upande was kilimo kuna changamoto kubwa sana afanye utafiti kwa wakulima wakati ajue wao wanaendeshaje kilimo na pia kilimo sasa ni chakumwagilia ndo kinalipa so mwambie kama atatumia pump ya kumwagilia anunue ya solar inagharama nafuu kuiendesha kuliko ya mafuta au nishati nyingine yoyote
 
Back
Top Bottom