Ndiyo utagundua kwa nini alipenda kuhimiza maandamano

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,748
14,081
Hatimaye yule kamanda fake a.k.a Dj yupo mikononi mwa makamanda wa ukweli a.k.a jeshi la polisi la Tanzania. Pamoja na kujificha koote, ila kadakwa kwenye kichocholo alikokuwa kajificha.

Alipenda sana kuhimiza maandamano ila kumbe mbele ya polisi ni muoga kama arsenal, hahah
 
Wee dada sijui Chadema ilikufanya nini....Chadema sio chama tawala useme it will change or manage your life,CCM does that for now tangu uhuru...

Una chuki moja mbaya sana na Chadema especially Mbowe,hii chuki imefunika uelewa wako mazima...

Ukiniambia mwananchi ana Chuki na CCM walau kinaeleweka since ccm imeburuta watu since independence...sasa wewe una chuki mahususi kabisa kwa Chadema na Mbowe in particular...this is interesting of u!
 
Acha bongo lala, CCM ndicho chama pekee kinachoishi kwa ahadi zake. Chama mfu chadema ni chama cha wauza dona, wapiga dili, waongo, wanafiki, wauaji, wabaguzi, wezi, mafisadi, zeros, wahuni, wachakachuaji, wapenda vita, waendekeza ngono wasioheshimu ndoa zao, waharibu vijana kwa kuwauzia viroba, dona. CCM itadumu daima!
 
Iv kwel mtu na akili timamu anafurahia CCM kuwepo madarakani!!!??
Eti Philemon mbowe alikuwa kajificha???!! Seriously you believe this crap!!
Nachoshukuru nikwamba kila binadamu ana expire date. Itakapofika yako ukiwa kikongwe natumaini utaendelea kuimba mbele kwa mbele ukiwa huna mbele wa nyuma
 
Ndiyo maana dj aliamua kujiingiza kwenye sembe, hahaha. Akifungwa nitafurahi sana.
Dj hauzi sembe, bali ana miliki biashara halali. Na hakuna anayeweza kumfunga hapa duniani.

Peleka upumbavu wako huko buzilayombo.
 
Acha bongo lala, CCM ndicho chama pekee kinachoishi kwa ahadi zake. Chama mfu chadema ni chama cha wauza dona, wapiga dili, waongo, wanafiki, wauaji, wabaguzi, wezi, mafisadi, zeros, wahuni, wachakachuaji, wapenda vita, waendekeza ngono wasioheshimu ndoa zao, waharibu vijana kwa kuwauzia viroba, dona. CCM itadumu daima!

Una shida sana dada yangu...ndio maana frequency ya kupigwa ban kwako ni kubwa sana...uwezo wako wa kufikiri umeliwa na chuki yako kwa opponents,big weakeness.

Siasa huiwezi kama mtu una chuki kiasi hiki,seriously
 
Hamna MTU mwenye haki ya kumtukana wenzake hapo umekosea dada Mudawote ukumbuke mzee Aikaeli ndo alimpa Nyerere nauli ya kwenda uingereza kujieleza anataka Uhuru was nini.....karibia majengo tote ya Maji was Moshi ni ya familia ya kinamboe..... Mboe amekuta ela zakutosha unga hana mda wakuuza...Mm binafsi napenda serikali ya Magu ila mboye kuuza unga
 
Wala usilaumiwe,wewe ni wakuonewa huruma!Unahitaji umuone daktari wa saikolojia!
 
Iv kwel mtu na akili timamu anafurahia CCM kuwepo madarakani!!!??
Eti Philemon mbowe alikuwa kajificha???!! Seriously you believe this crap!!
Nachoshukuru nikwamba kila binadamu ana expire date. Itakapofika yako ukiwa kikongwe natumaini utaendelea kuimba mbele kwa mbele ukiwa huna mbele wa nyuma

Mkuu hili swali huwa najiuliza mara nyingi sana.
Mtu hasa unafikiri na kuwaza vizuri unaweza furahia CCM kuwa madarakani kweli?!!!
 
Hatimaye yule kamanda fake a.k.a Dj yupo mikononi mwa makamanda wa ukweli a.k.a jeshi la polisi la Tanzania. Pamoja na kujificha koote, ila kadakwa kwenye kichocholo alikokuwa kajificha.

Alipenda sana kuhimiza maandamano ila kumbe mbele ya polisi ni muoga kama arsenal, hahah
DJ ameanza kuweka muziki na fisiem na polisiem wameanza kucheza condakta mwenyewe ameanza kukubali kiaina
 
Back
Top Bottom