RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,367
- 1,524
Hahahaha utamfanya akimbie hata chuo!! Na alivyomuoga hadi hela ya demu anaiona ni yao wote. Hela ya demu ni ya demu, na hela yako ni yenu wote hakuna vice versa labda tuhamie sayari nyingine!!Hongera, hii ni dalili ya ujauzito, baada ya miezi kadhaa tegemea kupata mtoto tena atakua wa kiume sababu anakuchukia sana.
Ongeza upendo, tumia boom vizuri . kuwa na hekima na ujiandaye kwa malezi.