Recent content by peter mlokota

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    mwenye kujua jinsi ya kuconfig DNS kwenye fedora 16 anisaidie kwan inafika mahali nainstall bind inaonyesha kuwa imenstalled lakin nikija kuitafuta katika file system->etc siipati sasa nashindwa kujua imejificha wap?????/naomba mwenye maujuzi na hili anisaidie
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

    hhahahahhhahahhahahahahaahahaha
  3. P

    JamiiForums Tanzania PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

    umenikumbusha mbali sana mdogo wangu kwan nami nimesoma PCM hapo old moshi na wengi tuliingia na ndoto kibao kipind hicho pale combination zilikuwa mbili tu na cyo kama sasa kuna mpaka arts.kipind chetu kulikuwa na PCM na PCB tulikuwa tunaongelea uhandisi na udaktari tu lakin mda ulivyozid...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    inakuwa ya blue kama vile window inavyoanza kurun lakin hakuna maandishi yeyote yanayojitkeza mkuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    natumai wazima ndugu zangu naomba kusaidiwa kutatua ili tatzo kwenye hii PC yangu ukiiwasha inaunguruma tu na screen inakuwa haidisply chochote zaidi ya mwanga tu.aina ya PC ni ASUS
  6. P

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    jamani me napenda kufahamu na bei ya matank kuanzia lita 1000 na kuendelea????????
  7. P

    JamiiForums Tanzania Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

    moja ya kikao alichohudhulia mkk na msafara wake kule france
  8. P

    JamiiForums Tanzania Blandina S.J Nyoni afunga Vyuo vidogo vya Afya Viwili Mbeya

    sasa c utoe data zako na c kupinga tu au unafikiria kwa kutumia masaburi kk??????
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mkwawa University: Wanafunzi hewa watafuna mil. 66/-

    kweli mungu hayupo kwa wizi huu kwan watu wamejaa pepo za kitajiri tu ili wajambishe kitaa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Video:wanawake wa kiukrain wakilete purukushani nje ya ubalozi wa india

    Wanawake hao wanapinga kile cha kuambiwa kuwa wao wanakwenda kufanya umaraya india kwa hyo hawastaili vizaa Ukrainian women rage against Indian prostitute ‘slur' | euronews, world news
  11. P

    JamiiForums Tanzania Video:wanawake wa kiukrain wakilete purukushani nje ya ubalozi wa india

    Wanawake hao wanapinga kile cha kuambiwa kuwa wao wanakwenda kufanya umaraya india kwa hyo hawastaili viza
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nani anaisimamia elimu ya Tanzania?

    watoto wa mafisadi na wanaharati hawatumii mitaala hii inayobadilishwa mzee
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010

    kaka swala c waafrika tu bali ata kwa wazungu uchawi upooooooo
  14. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za majitaka, Dk Mary Mwanjelwa hajazomewa

    MH DR MARY MWANJELWA AKIONGEA NA WAMACHINGA WA MWANJELWA - YouTube jaman link hyo hapo juu mcheki wenyewe alichokuwa anaulizwa na kujibu uyu dr. Mary Mwanjelwa na cjui nan kampa huu udaktari kwan cdhan kama anafahamu anachokitetea
  15. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za majitaka, Dk Mary Mwanjelwa hajazomewa

    MH DR MARY MWANJELWA AKIONGEA NA WAMACHINGA WA MWANJELWA - YouTube jaman link hyo hapo juu mcheki wenyewe alichokuwa anaulizwa na kujibu uyu dr. Mary Mwanjelwa na cjui nan kampa huu udaktari kwan cdhan kama anafahamu anachokitetea
Back
Top Bottom