Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by peter mlokota, May 1, 2012.

 1. p

  peter mlokota Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hhahahahhhahahhahahahahaahahaha
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  unatuumiza macho;

  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TD="width: 22%"]jeremiah j mwambi
  [/TD]
  [TD="width: 6%"]15[/TD]
  [TD="width: 4%"]iii[/TD]
  [TD="width: 58%"]g/studies-s physics-s chemistry-e biology-d bam-f[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 3. M

  Mhode Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LOOOOOOOOOOOOOOOOOO kaz kweli kweli, LAKIN HUYU ANAFAAA kumuoa MWANAISHA ili NDOA IWE NA AMANI, MAMA CHIZI BABA TAHAHIRA adi raha
   
 4. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Raia mnavyojua kuwadhalilixha watoto wa wa2 cjui na nyie hamtakuwa na watoto bwana.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni mtoto wa nani huyo
   
 6. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  div 3 mbona kajitahidi. wewe umepata ngapi?

  mwenzio atakuwa anasubiri kupelekwa nje na pesa za nchi, we kaa unamleta humu. mie hata bmzazi wake sijui nikigogo wa nini au nani.
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sasa na nyie mnashadadia nini? Mbona point 15 amejitahidi? Jadilini ya ndugu na jamaa zenu kwanza mjue jinsi ya kuwasaidia ndo mje kujadili ya wenzenu.
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hizo Point zinamwezesha kwenda kusoma chuo bora nje ya nchi ila UDSM /Mzumbe/Muhimbili/Udom hawata mchukua kwa Degiriii kwa kuwa ni vyuo bora kwa tz ....
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kweli kwa pointi hizo sept atakuwa st pettersburg Russia amini usiamini...maana mzee wake bado ana nafasi kusomesha bure watoto wake!!amejitahidi sana muacheni kijana wa watu!!
   
 10. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  mbona kuna watu wana point 16 na bado wako,SUA,UDSM,MZUMBE,UDOM,NAkwingineko acheni hizo na wengine wameingia chuoni kwa pre-entry
   
 11. paty

  paty JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  not fair , hawa watoto wanafedheheshwa sana jinsi wandugu mnavyowa waanika , sijafurahi jinsi wanavyopata kadhia za namna hii kwa makosa ya wazeee wao , they are innocent
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Napita tu!
   
 13. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Huyu hapa umemuonea bure! Kafaulu kabisa, ukukokotoa cut-off point zake ni 4.0 ambazo vyuo kama SUA ,MUCCOBs nk minimum entry requirements ni hiyo. So kama mtu anaqualify kuingia chuo kikuu iweje useme kaangukia pua? Hizi zitakuwa chuki binafsi
   
 14. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huyo mbona kang'aza big to em ndio wasahishaji walivyompa bt uwezo wake unaweza ukawa ni zaidi ya hapo
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  huyu dogo kafaulu kabisa. Kuna manguin kibao walipata three na wako/wamepita vyuoni. Dogo kama unapita humu nakupa hongera.
   
 16. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mbona mi nilipata ya 13 na ndio naingia mwaka wa 3 kajitaidi ingawa mi si ccm ila kajitaidi sana
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Punga hiloooooo
   
 18. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kwa PCB ni matokeo mazuri sana hayo
   
 19. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  toa UDSM we kilaza! Unafikiri chuo cha kata hiki!
   
 20. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  umekosea @ kingmairo,minimum point yake ni 3.5 na sio 4.0 kama ulivyorema.
   
Loading...