Recent content by Peter Malejehe

  1. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Tuanzie hapa fedha na Mali zote hizi ( fedha zilizo nje ya acc ya kanisa)alizipata kwa sadaka tu au anabihashara nyingn? kama ni sadaka tu, kwa j2 moja makanisa yake yote yanakusanya sadaka itakayo mwezesha kupata fedha,hizo?-kama siyo fedha za sadaka tu zilizompa utajr, anabihashara gan...
  2. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chakula kinachoongeza uzalishaji wa mbegu za kiume

    Vyakula vyote vya fati na Protini ukivila pamoja na Asali(Mf karanga kula pmj na Asali kila Asubuhi na jioni)uongeza uzalishaj Wa mbegu,Ashki/nyege pmj na nguvu za kiume
  3. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

    Wenzetu Wanafatilia sana na wapo makini and serious na sheria hii
  4. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuweka picha za mtoto mtandaoni

    Mimi na rafiki yangu yupo Marekani * kwenye taasisi ya Elimu lakn mpaka sasa ameshindwa kutupostia picha za wanafunzi wake jinsi wanavyosoma
  5. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Uhamisho makatibu wa CCM wa Mikoa: Chatanda Out Arusha to Singida

    Hawana jipya
  6. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya wowote kujua idadi ya wakristo na waislamu Tanzania?

    Waambie BAKWATA na mabaraza mengne ya wakristo wafanye sensa hiyo sababu serikali haina dini
  7. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

    Hizi no harakat tu
  8. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Nawapa pole wote walio tema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa
  9. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Re:WIZI WA 60M LEO MCHANA BUGURUNI

    Mtoa habari anataka habari kamili/tumjuze.Napa ni sawa na redio/mtangazaji/mwandsh kumwomba msikilizaji ampe habari kamili
  10. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Chadema ni chama cha watu wenye kujenga hoja kwa mifano na Ushaidi halisi
  11. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Walimu pita hapa

    Hii imembuma mm npo Lindi-Liwale
  12. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    Naomba urudie sjakuelewa vzr(n tuzo za marais bora au bora marais Wa Afrika)
  13. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta: Swala la serekali tatu halikwepeki CCM isibaki kuwa kichwa ngumu

    Warioba ni MWALIMU mzur kMsomesha mpaka kbdl msimamo wake-LAKN pia Sitta n kiongoz bora sana anayejal wananch zaid kuliko chama na msimamo wake binafs
  14. Peter Malejehe

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Nmeamua kuandka ya ukweli ss labda nwza pata mwnzngu
Back
Top Bottom