Nivae miwani mara ngapi mkuu??
Au wewe huoni makosa katika huo uhandishi wake?
Haziuzwi wa la pkuingizwa tena Tz mkuu, nilienda kununua kwa maagent wa hapa wakaniambia kiwanda kimefungwa so hakuna tena, sikuamini km kweli kiwanda kimefungwa nafikuri Kuna kitu hawakutaka kysema ukweli
yaani jamaa kweli hawana mbinu za kupambana na uhalifu yaani ujuzi wao utakuwa ndyo umeishia hapo..kuzuia boxer syo solution kbsa
Ndo hivyo mkuu, uditegemee unaenda fulani ukanunue boxer, hazipo labda mtumba iliyopo barabarani
Blaza embu tuliza mchecheto, ujumbe tumeupata ila aina ya uandishi wako embu jaribu kuufanyia masahihisho kidogo
mods futa huu uchafu
Yeye amezileta taarifa kutokana na alivyozipata, hatuwezi jua pengine amehadithiwa, tufanye subra. Inawezekana akaja mkuu mwingine mwenye taarifa zaidi.
Jamani mbona ujambazi unashamiri sana badala ya kupungua?
Ina maana hakuna mikakati yoyote kudhibiti ujambazi?
duu kama rambo shikamooni wajasiriamali..