CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

Mtoa mada wacha umbea nilikuwepo mwanzo mwisho hakuna jambo la amna hiyo kawadanganye wajinga sio sisi ccm kweli mmechoka umbea umewazidi mtakuwa lini kweli nimeamini ccm iko icu

Pale walikuwa wanafanya nini siyo kupigana mbona mkutano ulisitishwa
 
Magamba hawana jipya wamekosa pa kupumilia,karibia kiwanda chenu cha uongo kinafungwa
 
Hao walikuwa wanainadi sera yao ya upigananji kwa vitendo.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Mkuu hivi kwanini chadema ni chama cha drama mara kwa mara wanakua watu wa sarakasi tu
Ndio ilani ya chama chao, watadai haki hata kwa kumwaga damu, bora wameanza wenyewe na sio kuwatoa kafara wenzao
 
wewe huoni hata viongozi wao wakubwa

sasa kama watu wanapigana na kisemeana mbovu wakati mwingine hata mbele ya waandishi

HIVI WAKISHIKA NCHI ITAKUAJE??

Hatari tupu we ona arusha ilivyoharibika chini ya lema
 
Vijana Wa Red brigerd Wa chadema Arusha wakuongozwa na kamanda wao krisi ambaye ndiye kamanda wa Red brigerd Arusha jimbo wamepigana hadi kumwagana damu maeneo ya Ostabey unga LTD kuelekea Sombetini ambapo walikuwa wanatangaza mkutano wao Wa hadhara

Baada ya kuumizana mziki ulizimwa ghafla na kurudi kuelekea ofisini kwao Ngarenaro

Una ushahidi wowote?
 
Hao walikuwa wanainadi sera yao ya upigananji kwa vitendo.
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
FaizaFoxy, tafadhali pokea ushahidi pekee wa picha uliowahi kutolewa humu JF ukionesha sera ya upiganaji ndani ya vyama vya siasa ni huu hapa;
Untitled-10.jpg
Untitled-7.jpg Usanii17.jpg Usanii15.jpg


Kama picha hazitoshelezi, nakuongezea na hii ripoti uone Chadema wanavyoinadi sera yao ya upigananji kwa vitendo!


Fikra Pevu said:
BAADA ya kuripotiwa kupigana kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dar es Salaam katika uchaguzi ndani ya chama hicho, ngumi zimeripotiwa sasa kutokea mkoani Mara.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), mkoani Mara, umeingia dosari baada ya kuzuka vurugu kubwa zilizosababisha wajumbe kuchapana makonde mazito, kurushiana viti na mawe ndani na nje ya ukumbi.

Mapigano hayo makali ya wana CCM yaliyochukuwa takriban muda wa dakika 10 yalisababishwa na wafuasi wa mmoja wa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa umoja huo, kumvamia Katibu Msaidizi wa CCM wilayani Tarime, Denis Zakaria na kuanza kumshushia kichapo cha ‘mbwa mwizi’, kwa madai kuwa alikuwa akiwahonga fedha wajumbe wa mkutano huo.

Vurugu hizo zimeibuka saa chache zilizopita, katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mara, muda mfupi baada ya mgeni rasmi ambaye pia ni Mjumbe wa NEC kuitia wilaya ya Tarime na Kamanda wa Vijana wa CCM mkoa huo, Christopher Mwita Gachuma kufungua mkutano wa uchaguzihuo.

Baada ya hali hiyo mapigano hayo kuibuka, wajumbe wa mkutano huo kutoka wilayani Tarime walilazimika kutoka nje ya ukumbi, kisha kuanza kupambana na wafuasi hao kwa kurushiana ngumi kavu kavu, mawe na viti huku katibu msaidizi huyo wa CCM wilayani Tarime akitimua mbio na kuingia kwenye ofisi ya Katibu wa CCM wa mkoa kwa ajili ya kunusuru maisha yake.

Licha ya Katibu huyo wa CCM wilaya ya Tarime kutimua mbio, wajumbe hao walionekana kujawa hasira kali walimfukuza kwa mbio katibu huyo msaidizi, ambaye baadaye alifanikiwa kuingia na kujifungia ndani ya ofisi ya CCM mkoa huo.

Baada ya Katibu huyo kujificha ndani ya ofisi akikwepa kipigo wa wana CCM wenzake, wajumbe hao walionekana kutaka kumalizia hasira zao kwa mwandishi wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten mkoani Mara, Mabere Makubi wakitaka kumnyang’anya kamera yake kwa lengo la kutaka kufuta mkanda wa ghasia hizo, lakini wakashindwa.
Ukiwa bado mbishi nitakuwekea video uone sera ya upiganaji ndani ya chama cha siasa unavyotekelezwa (na Chadema?)
 
jamani ndugu zangu naumia sana ninapoona ccm inawafanya wtz maborizozo, yaani yanaleta propaganda za kitoto hivi,,mi nilikuwepo kweye hilo gari la cdm la matangazo, hakuna kitu kama hicho, watu hawakupigana wala
 
huu ni unafiki wa hawa wambea na wanafiki ccm
 
Tunataka picha..kama hakuna nendeni mkalale lkn muangalie msikojoe kitandani
 
FaizaFoxy, tafadhali pokea ushahidi pekee wa picha uliowahi kutolewa humu JF ukionesha sera ya upiganaji ndani ya vyama vya siasa ni huu hapa;
View attachment 180898
View attachment 180899 View attachment 180900 View attachment 180901


Kama picha hazitoshelezi, nakuongezea na hii ripoti uone Chadema wanavyoinadi sera yao ya upigananji kwa vitendo!



Ukiwa bado mbishi nitakuwekea video uone sera ya upiganaji ndani ya chama cha siasa unavyotekelezwa (na Chadema?)

Hayo mapindikizi ya magwanda yalistukiwa yakala mkong'oto.
 
Back
Top Bottom