Habari Zenu Wadau Nimepata Kazi Mkoan Hivyo Natafuta Mtu Nimpe Kitanda 5*6 na Godoro Lake Na Chumba Kwa Laki 2.5 Tu. Chumba Kipo Kiwanda Cha Tumbaku Km 5 Kutoka Chuo Cha Sua Kampas Ya Mazimbu. Kuna Maji, Umeme, Kina Siling Body.
Aliyetayar 0625668723
Jaman Kwanza Namshukuru Mungu Kwa Kupata Nafasi Hii Adimu!! Na Wale Waliokosa Nafas Bc Msikate Tamaa!! Nilimaliza 6 Last Year Nikapangiwa KU! Ada ikawa mtihan so nikakaa home mwaka mzima! Nikafanya Ujinga Mmoja Ambao Umenifanya Nipate Nafas Hii Adimu! Yeyote Apendae Kujua Nilichofanya Njoo Pm...
Duh! Jibu Ni Hili Comb Haijafutwa CBG!7
Ushauri Naona Kama Wew Mzaz Unajitahid Kumlazimisha Mtoto Aende Usayansini! Hebu Kaa Nae Muulize Nin Anataka! Sio Kumpelekesha Na Kutaka Sifa! Kumbuka Anayesoma na Kupiga Paper Ni Yeye Na Kwa Hayo Matokeo Ya Point 23 Napata tabu Kumwamin kama hapo CBG...
Inawezekana! Nenda Kwenye Futa Machaguo! Hapo Utaanza Na Upya Utaletewa kozi Zote! Afya! Elimu! Engineering Na Education!!! Hapo Utaweka Koz Zip Ungependa Ziwe First Priority Na Second Na Third! Uta Mark Utabonyeza Continue With Application! Kila Faculty Utachagua Kozi 3!
Kama Ukitumia Printer Ndogo Za L800 Tenga 7.5M ! Kama Utataka Printer Kubwa Andaa 30M + 7.5M kwa Mchanganuo Ufuatao;
1. CAMERA CANON EOS 7D Tsh 2.5M
2. PRINTER L800 Tsh laki 8 * 2 = 1.6 M
3. LIGHTING TOOLS full Package Ya Sony Lighting Set Yenye Taa + Reflector + Stand + Umbrella! Inaenda...
Tumeshuka Nafasi Tano Kutoka Nafasi 125 mpaka 130! Kocha Anadai M 200! TRA Wamekamata Magari! Malinzi Bado Unajiona Unaendana Na Kas Ya Uncle Magu? Jitumbue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.