Tanzania Tumeshuka Viwango Vya FIFA, Jamali Malinzi una nini cha kujivunia?

Peter Lemi

Member
Mar 30, 2016
39
62
Tumeshuka Nafasi Tano Kutoka Nafasi 125 mpaka 130! Kocha Anadai M 200! TRA Wamekamata Magari! Malinzi Bado Unajiona Unaendana Na Kas Ya Uncle Magu? Jitumbue
 
Huyu jamaa sio tu kwamba ajiuzulu bali afunguliwe na mashtaka ya kuhujumu soka letu na afungiwe maisha kujihusisha na soka
 
Back
Top Bottom