Recent content by Peter E.

  1. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Inauma sana,wengine wana bomoleshwa na wengine wanaachwa.mpaka sasa sijajua maanayake nini.
  2. Peter E.

    JamiiForums Tanzania James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    Ni James Msekela,siyo James Nsekela.
  3. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

    Unasema hao ni wazuri kwakuwa unawaona .ktk tv,halafu wanajiremba Kila kukicha,yaani Gao unaowasifia wake kijijini wiki tu,au wasijipodoe mwezi mmoja ,utawakimbia.Hawana uzuri wowote.ni wa kawaida kama wengine.wazuri wameisha olewa.
  4. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Nimekua mtumwa kwa mwanamke mwenye makalio makubwa

    Unahaki ya kuchanganyikiwa
  5. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo sitaisahau

    Achana nae,kakudharau.
  6. Peter E.

    JamiiForums Tanzania James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    Huyo ni James Msekela,na sio James Nsekela.
  7. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Tena,hawana hata aibukutangaza eti hanahatia,wan atuona cc watanzaia ni wajinga sana,h alafu hatuna akili?lakini sawa tu. Mungu ni muweza wa yote.
  8. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Dawa ya Foleni kwa Jiji la Dar es salaam

    Huyu nadhani Anawashwa.
  9. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa DC Makonda Kujificha kwenye Miguu ya RPC Wambura kisa kuogopa Madereva

    Yeye ni bingwa wa kupiga wa2.asingejificha kama kuku ndio angepata habari yake.
  10. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

    Atupigie hesabu za mafisadi niwangapi hapa nchini na mpaka sasa wameiba ngapi,akijumlisha na zile za Escro, na za uswiss.
  11. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Mbezi kwa Msuguri!!

    Poleni sana majeruhi
  12. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Mmh,haya! Ndo nchiyetu ilivyo.
  13. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

    Tanzania imekwisha.viongozi wetu.ambao tuliwachagua kwa lengo moja, watuongoze,wametugeuka,wanatukandamiza,hakuna hatammoja anae simama kumtetea mwananchi wa hali ya chini.wamekuwa mafisadi,wabinafsi,wanajimbikizia mali, wanaingizamadawa ya kulevya,huyo anaekataa wasitajwe nayeye anahusika,ndio...
  14. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    Kama wangekuwa sisiem,wamezidisha muda kama huo inamaana viogozi wao wangewakamata?
  15. Peter E.

    JamiiForums Tanzania Tukio la majambazi kupora fedha Ubungo Mataa

    bora kama amepona
Back
Top Bottom