Tumia akili kidogo bac ... hata nguvu zako za kiume zikipungua utaisingizia ccm
Kijana hacha kufikiri kwa kutumia masaburi,,kwani kikwete ndo anawafanya waendeshe gari kwa fujo?huyu jamaa kazidisha kafara mnoo. Kafilis nchi haitosh sasa dam za watu. Tatizo letu wabongo kuwaweka wacheza ngoma pale.
Tumia akili kidogo bac ... hata nguvu zako za kiume zikipungua utaisingizia ccm
Weka picha bwana kwani zinatisha sana kuliko za ISIS?
Huyu jamaa wakupuuza tu,hakuna ajali wala nini.
Hii si mara ya kwanza kwake kuzusha tukio la ajali anachofanya nikuwa-enjoy tu Sana sana atawaletea picha za nyuzi za 2012.
CCM inalimaliza hili Taifa..
acha UCHOYO,WEKA PICHA HAPA,AMBAE HATAKI KUANGALIA ANAACHA,NI SAWA NAKUSEMA ETI Zima compyuta kuna utandawazi.kuangalia ni hiari ya mtu,kutoziweka una wanyima haki tunaopenda tuzione..Kuna ajali mbaya imetokea hapa Mbezi kwa msuguri ikihusisha Lori LA mchanga na Gari aina ya Toyota Spacio.
Gari. ndogo imeharibiwa vibaya sidhani kama kuna aliyesalimika.
Picha zinatisha sana siwezi kuzianika hapa.
CCM inalimaliza hili Taifa..
Au hata namba za magari!Weka picha bwana kwani zinatisha sana kuliko za ISIS?