brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
hayo ni maamuzi tu...ukitaka hata sasa huwezi kukosaMpk uwe nacho
hayo ni maamuzi tu...ukitaka hata sasa huwezi kukosaMpk uwe nacho
Nahisi kama umenijibu 'mara nyingi'.. pole lakiniHata sikumbuki...
Yes ila sikumbuki ni mara ngapi exactly.... Moja nishahadithia humuNahisi kama umenijibu 'mara nyingi'.. pole lakini
Huyo kwenye avatar ndo wewe?Yes ila sikumbuki ni mara ngapi exactly.... Moja nishahadithia humu
Hapana, ni avatar tuHuyo kwenye avatar ndo wewe?
Hata mimi nilijua hivyo mkuu maana kichwa cha thread yake kinahudhunisha sana na kutia hamasa ya kusoma kama yaliyomo yamo .KUMBE USALITI TU.Yani nilivyokuwa nasoma kwa kasi nilijua utakuwa kwa chini kabisa ungesema ilipigiwa simu bwana wako kafariki.... Anyway poleeee
Pole sana Bianca josephIlikuwa ni siku ya alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anaitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anaitaji kutoka na mimi kwenye sikukuu ya pasaka. Kwa7bu ya upendo wangu kwake nilimkubalia ombi lake. Ilipofika siku ya jumapili asubuhi alinipigia simu kwamba anajisikia vibaya (anaumwa), kwahiyo hawezi kwenda sehemu yoyote siku hiyo. Kwa kweli nilimuhurumia sana, nakumuahidi nitaenda kumuona siku hiyo. Japo kuwa alinikatalia kwenda kumuona, sikukata tamaa jioni nilienda kumuona, cha kushangaza sikumkuta na mlango ulikuwa umefungwa. Nikaanza kuwauliza majirani zake, walinijibu kwamba aliwahaga anakuja kwangu, nalipojaribu kupigia simu hakupatikana. Nikaamua kurudi nyumbani, wakat nipo njiani nikapigiwa simu na rafiki yangu kwamba amemuona mpenzi wangu akiwa na msichana mwingine wakiwa kwenye Bar fulani. Nakachukua bodaboda hadi eneo husika na nilichokishuhudia ni Mungu mwenyewe anajua. Jamani nimevurugwa sana. Nilikuwa naitaji marafiki wa kunifariji. Sichagui Dini, kabila wala jinsia. Wote kwangu ni marafiki tu.
Nimekupenda Bure Mpendwa Wangu loveissweetPole dear .. You dont need no people to be your friend , utaumizwa tena ... You just need God .. Marafiki wa sasa are so fake .. Very few of them ambao wako fear na Mungu ndani ya mioyo yao.. Sogea karibu na Mungu wako akuponye .. try to stay busy with the things that are your hobbies .. Learn to let it go.. Forget about that Guy ... Believe that kuna another one ambaye ni wako anakuja .. Achana na urafiki wa binadamu mmfanye Jesus as your best friend who can give what you need during this time .. Thanks..
ValentinaHapana, ni avatar tu
AbeeValentina
okay.. ila i sense we ni mcuteeHapana, ni avatar tu
Habari za asubuhi mpendwaAbee
Of course yes...okay.. ila i sense we ni mcutee