Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

hiyo elements ni club au? cku ipi nzuri na muda gani mzuri nije?
Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
 
Wewe ni meneja kwenye hiyo bar?
 
Mkuu ni bar ya kishua kuanzia alhamis hadi jumapili kuna bamba sana watoto wakali wa kila aina kuanzia wazungu,wahindi,waarabu,wa africa ushindwe wewe tu iko kalibu na jackies masaki barabarani kabisa jioni muda mzuri
Hao watoto wakaree wapo kibiashara au wanakuja na watu wao!?
 
Unasema hao ni wazuri kwakuwa unawaona .ktk tv,halafu wanajiremba Kila kukicha,yaani Gao unaowasifia wake kijijini wiki tu,au wasijipodoe mwezi mmoja ,utawakimbia.Hawana uzuri wowote.ni wa kawaida kama wengine.wazuri wameisha olewa.
 
Ni mitazamo yako ww.... but the truth is.... uonavyo ww si wanavyoona wengine. Kwa mfano hao ulio waorodhesha naona bado v kitu... kuna wadada wazuri kuliko ata hao.. wamekosa tu promo.
 
Back
Top Bottom