Recent content by Penologist

  1. Penologist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Naona kabisa Chalamila akiingia kwenye ile list list ya most wanted criminals kutoka kwa Genz na Maria spaces.
  2. Penologist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Naona kabisa Chalamila akiingia kwenye ile list list ya most wanted criminals kutoka kwa Genz na Maria spaces.
  3. Penologist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145

    Huo moto unao chochewa kwa kuwafungulia mashtaka ya uhaini wazalendo wanao tetea Taifa lao hawataweza kuuzima,binafsi nitatoka kwenye maandamano yanayofuata kujiunga na wapendwa tuliowapoteza na ndugu niliyo waona wanakamatwa barabarani kuanzia tar 1 November hadi leo na kubambikiziwa kesi za...
  4. Penologist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    Tafuta kilainishi kabisa au hama mji.
  5. Penologist

    JamiiForums Tanzania Aliondolewa 2022, karudishwa tena 2024! I’m confused

    Tuliambiwa anapewa kazi maalumu ya ushauri ikulu, yaani alinyang'anywa uwaziri ili kuwa mshauri maana yake hawa mawaziri siyo washauri wa rais.
  6. Penologist

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Dunduka apigwe Kama ngoma.
  7. Penologist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Unawabania vijana iyo vacancy mkuu.
  8. Penologist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Umenikumbusha single mother niliye date naye three years back, ila yeye anachura ya maana na mtoto mmoja tu, af kwanini unataka wazee tu?
  9. Penologist

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Wayahudi ni wajukuu wa Isaka kupitia kwa Yakobo usitegemee wakisema Ismail ndiye aliye nusurika kutolewa sadaka. Alafu hajira si alifukuzwa baada ya kuleta dharau kwa bi mkubwa sarah, kama alifukuzwa mtoto akiwa mdogo basi aliyenusurika ni Isaka kwakuwa mtoto aliyepelekwa kutolewa sadaka...
  10. Penologist

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Batch 6 inaendelea.
  11. Penologist

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

    Leo nitamfundisha yule dunduka namna ya kumfunga mwarabu Yanga daima mbele.
  12. Penologist

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Naona waliyo pata na kuongezewa ni wale welio ambatanisha cheti cha kifo Cha mzazi/wazazi na barua ya sponsorship.
  13. Penologist

    JamiiForums Tanzania FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

    Vina muda basi
  14. Penologist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Unatumia kinga'muzi cha antenna au dish?.
  15. Penologist

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Tembeleeni account zenu mliokata rufaa majibu yameanza kutoka leo.
Back
Top Bottom