Recent content by Pengo

  1. Pengo

    Kuvamiwa kwa Mzee wa Upako, Askofu na Mchungaji mbaroni

    TUKIO la hivi karibuni la kuvamiwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya baada ya watumishi wawili wa Mungu kuhojiwa. Waliohojiwa katika tuhuma hizo nzito za kuvamiwa kwa...
  2. Pengo

    Jamani huyu ni mrembo gani?

    Haya jamani haya ni mambo ya mwisho wa wiki si vibaya wakwale mkasafisha macho kwa kuangalia mastaa wetu wa bongo na vibweka vyao.
  3. Pengo

    GE2010 Kinana atoa kali!

    Redet wahuni tuu,hawana ukweli wowote.Rbu nambie kati yenu nu nani aliyehojiwa na hao red -et na kuwa miongoni mwa waliochukuliwa kama mfano?
  4. Pengo

    SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

    Mambo yapo makubwa yanakuja,tutasikia mengi sana na mwisho wake member hapa jf tutabaki wachache sana kwani walio wengi watatimka mara baada ya matokeo kutangazwa
  5. Pengo

    Mbatia ataka siasa za kibabe ziepukwe wakati wa uchaguzi

    Habari zilizotangazwa muda huu(saa kumi na mbili) katika taarifa ya habari ya redio Clouds imemnukuu mwenyekeiti wa chama cha siasa cha NCCR mageuzi akiongea kuwa watanzania tujali zaidi utaifa badala ya ubabe kama unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotaka uongozi wa nchi kwa kutoa vitisho vya...
  6. Pengo

    Ushauri-TFF mechi ya Morocco iwe 10/10/10

    Kuna watu bila CCM hawawezi kupata ulaji!
  7. Pengo

    Ushauri-TFF mechi ya Morocco iwe 10/10/10

    [/COLOR]CAF/FIFA wanapanga siku 3 za mchezo husika na TFF ndio wenye dhamana ya kuchagua siku ya mchezo kati ya Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.[/B]
  8. Pengo

    Kuitosa ccm na jk octoba hii ni kumuenzi baba wa taifa

    Kwanza huyo jamaa uliyemtaja (mungu amuweke mahali panapostaili)ndiye chanzo cha uchafu wa ccm,kwahiyo ni bora kumpa kura Kikwete ili atupilie mbali yale mawazo ya zidumu fikra mbofumbofu za mwenyekiti!
  9. Pengo

    GE2010 CCM imepanga kusafirisha wanavyuo ambao ni wanachama kwenda kupiga kura

    Yaani hadi leo bado hujajua kuwa CCM wameshashinda uchaguzi!?Kinachofanyika tehere 31/10/10 ni kuthibitishwa tuu,poleni chama dume.
  10. Pengo

    Huu ndio uandishi wa habari?

    Mleta makala hii anahitajika kwenda mirembe kwani kwa utafiti nilionao aliwahi kukimbia pale mhimbiri wodi ya wale jamaa wapigao kelele!Angalia pumba anazoleta kwani ukizichambua hata chembe za mtama hazitoki!puuuuuuuuuuuuuuuH
  11. Pengo

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Mbona mimi sikuhojiwa!?
  12. Pengo

    Waliomshambulia Kubenea na Ndimara waachiwa huru!

    Kubenea amebenewa hapo!Haki haikutumika kabisa
  13. Pengo

    GE2010 Mashushushu kumwagwa majimboni

    Kwa upelelezi wangu nimegundua zaidi ya 85% ya wana jf wote ni wapenzi au wanashabikia CCM,wakiwa wanachangia mada kwa pamoja wanajifanya wapinzani lakini pembeni wao ni CCM!machoni kama watu moyoni hamna kitu!Jiwekeni wazi tuu kama MS,JK
  14. Pengo

    GE2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

    Tutasikia mengi hata pumba mwaka huu!
  15. Pengo

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Inaonyesha wewe una bifu na hao mashehe kwani wakati Mokiwa na Kakobe wanatangaza nia ya kumkampenia padre slaa hukuona au kwasababu hawakuvaa ile kofia ya ubwabwa!? Kwanza nimeanza kupata wasiwasi na hii dini yetu ya ukristo kwani ninavyoelewa dini imeletwa na aliyetuumba na miongozo yake yote...
Back
Top Bottom