Recent content by peah

  1. P

    Nimetoa rushwa leo kwa traffic

    Stupidity!!!!!!!!!!!!
  2. P

    Kupandisha gari kwenye Kivuko cha Kigamboni bila kupanga foleni

    Hivi nyie mbona wabinafsi sana? swala ni wote tunataka kuvuka na ndio maana tunakaa foleni, ila hawa wanaovunja foleni labda wana vuta pumzi yao tofauti na sisi. Inauma sana tunawahi kuamka mapema sana mtu anakuja baadae kabisa anaingia geti la kutokea bila hata aibu na kufikiri hawa ninaowapita...
  3. P

    Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Unategemea nini kama mwanamuziki anaitwa Ikulu na kupewa pesa za sikukuu!!!!! Badala ya kuitwa mwanafunzi bora au wanafunzi kumi bora pamoja na walimu wao wakaonana na mheshimiwa raisi na kukabidhiwa zawadi? Hii inakua ni motisha kubwa sana. Badala yake anaitwa mtu ambae anavalia suruali chini...
  4. P

    UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

    Unakuta mtu mweusi tii! yaani mwafrika halisi anafurahia kuitwa mwarabu. Yaani kama ni muuza duka utasikia mwarabu unacho kitu fulani? Nae atajibu ndio mwarabu au hapana mwarabu! Yaani mijuitu hii sijui inanini? wanamuona mwarabu kama kitu gani sijui yaani!
  5. P

    Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Ubaya hauna kwao duu! Huyu baba Mungu amlani na amjaalie adhabu kali sana.
  6. P

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Mimi naona kwamba ni bora kila mtu afuate njia yake. Maana sirahisi tena kumwambia mtu lazima ale nyama iliochinjwa na mtu wa dhehebu fulani. Hivyo basi kula au kutokula ni matakwa ya mtu. kwenye mabucha kuandikwe kwamba 'imechinjwa kiislam' au 'imechinjwa kikristo'. mbona mkuu, kwenye mahoteli...
  7. P

    Kama mzazi hili limeniuma sana!

    Swala kama hilo unangoja nini kwenda kutoa taarifa polisi? assume ni mwanao kafanyiwa hivyo utanyamaza? Jamani tuwe wawazi zaidi. Mlipue na shule nayo ijulikani! unadhani utapata faida gani ya kukaa kimya? Mungu kakuongoza umepata taarifa za umyama huo, zitoe hadharani ili sheria ifuate mkondo...
  8. P

    Uvinza Siendi Tena

    Jamaa mmoja dereva taxi alikodiwa na mama wa kizungu kutoka Airport. njiani mama alimmind jamaa! Walivyofika hotelini jamaa akaona ili ampagaishe yule mama aende uvinza, tena kabla mama hajaenda kuoga. Basi safari ya uvinza ikaanza, lkn jamaa alichemsha maana yule mama alitoka safari ya mbali na...
  9. P

    Eti kila weekend anajimwaga zake Bagamoyo kuubwaga moyo

    Lipi jema? yule kaamua kukaa Tanga mnasema, huyu anakwenda kwao kila mara mnasema! kuna watu wanakaa Bagamoyo wanafanya kazi Dar.Basi ombeni aende kwa dadala na bila ya ulinzi.
  10. P

    Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

    Bwan ametoa, Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe.
  11. P

    TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    yaani duuuu!
Back
Top Bottom