Kama mzazi hili limeniuma sana!

Kama mzazi hili limeniuma sana!

dist111 pls taja hiyo shule km kweli umeumia kama mzazi,just imagine ndo kangekua hako kabinti kako ungetulia kimya na kuogopa huo urafiki wenu,damu ya huyo mtoto itadaiwa mikononi mwako kwa kukaa kimya,nami naunga hoja changes begin with you!! Mabadiliko ni mm ni ww,halafu hakuna tena siri hapo bora umalizie tu kufunguka.
 
Last edited by a moderator:
Uuuuwwwwwwiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watoto wetu wa kiume, Mungu Tusaidie kuwalinda, Khaaaaaaaaaa!! Tunakuomba ututajie shule , Pls, Pls, Taja shule, ili huyo mlinzi achukuliwe Hatua pamoja na hiyo shule.
Nawaombeni wazazi wenzangu msipeleke watoto boarding school mpk wajitambue na waweze kujieleza wanapotendewa baya. Please wazazi wenzangu.

CC Smile, Nyumba kubwa, Gfsonwin

Lisa,
Shule za kutosha watoto wote wasome day ziko wapi??
Inamaana zikijaa basi watoto wasisome !
 
ki ukweli imeniuma.hata kwenye mtandao kutaja unaona ugumu gani?hujui kama na wewe mwenyewe unalifumbia macho?just imagine huyo angekuwa mtoto wako.mambo ya kuficha ficha haya,ndio yanazidi kuongeza tatizo badala ya kutatua tatizo
 
ki ukweli imeniuma.hata kwenye mtandao kutaja unaona ugumu gani?hujui kama na wewe mwenyewe unalifumbia macho?just imagine huyo angekuwa mtoto wako.mambo ya kuficha ficha haya,ndio yanazidi kuongeza tatizo badala ya kutatua tatizo

Kisukari, heshima mbele; au mleta mada ni mjomba wa huyo mlinzi' ? mbona kaweka kigugumizi sana hapa!!
 
From personal experience, abuse ilitoka kwa ndugu nyumbani. Boarding sikuwahi kuguswa wala kusikia mtu akiguswa. Nimesema na narudia tena, nitafundisha watoto wangu jinsi ya kujilinda as soon as they are capable of understanding.


ndo maana mambo ya boarding siyataki kabisa mie.......

Kingine ndugu walojazana majumbani hawana mwelekeo pia ni hatari kwa watoto
 
:A S cry::target::target::target::target::target::fencing::fencing::fencing::bowl::bowl:TUTAJIE JINA LA SHULE!:fencing::rofl::target::target::target::target:​
 
Tatizo wengine hiyo form one ndio ana miaka 13 kama ilivyoonekana kwenye kesi hii tunayoijadili hapa.

Kama ndivyo, basi make sure mtoto anapata elimu ya kujitawala kabla ya kutoka nje ya familia. Miaka 13 ni umri ambao mtoto anapaswa kujua mazingira hatarishi kwa maisha yake.
 
Swala kama hilo unangoja nini kwenda kutoa taarifa polisi? assume ni mwanao kafanyiwa hivyo utanyamaza? Jamani tuwe wawazi zaidi. Mlipue na shule nayo ijulikani! unadhani utapata faida gani ya kukaa kimya? Mungu kakuongoza umepata taarifa za umyama huo, zitoe hadharani ili sheria ifuate mkondo wake. Naomba mungu akupe moyo wa ujasiri.
 
Usilee tatizo.Tujifunze uwajibikaji na uwajibishaji pasipo haya.
Badili Tanzania,saidia mabadiliko.
Ni ujasiri gani mtu aweze kuficha maovu ya mtoto wa mwenzie kama si Tabia iliyokomaa kwenye shule hiyo?Fichua maovu Tafadhali ni mwanzo wa kujenga maadili ya nchi yetu kwa ujumla.
 
:A S cry::target::target::target::target::target::fencing::fencing::fencing::bowl::bowl:TUTAJIE JINA LA SHULE!:fencing::rofl::target::target::target::target:​

Du huyu ndugu mbishi pamoja na maandamano yote haya mpaka hao hapo juu bado kagoma kutaja wakati hili ndio jukwa la kuumbua waovu, sasa sijui alilileta hili suala hivi alivyolileta ili iweje ?
 
Back
Top Bottom