Recent content by peaceful boiiii

  1. peaceful boiiii

    Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

    Mtafute raisi wa roho mbaya 2018 Ney wa mitego atakusaidia
  2. peaceful boiiii

    Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. peaceful boiiii

    CCM iko katika 'Peak' ya 'Kupendwa' na 'Kushinda' Chaguzi sijui hii peak itadumu kwa muda gani

    Na bila huo upinzani tunarudi kule kule NB: ikumbukwe kuwa bila ya kuwa na upinzani bado wengi wangekua gizan pasipo nuru yeyote, naweza sema kwa hatua ya kimaendeleo tz ni kutokana na upinzan kupaza sauti vilivyo ambayo inawapa mwanga Serikali kujsahihisha ktka utendaji wake, kwahyo wale...
  4. peaceful boiiii

    CCM iko katika 'Peak' ya 'Kupendwa' na 'Kushinda' Chaguzi sijui hii peak itadumu kwa muda gani

    Simaanishi hvyo mkuu, najua unaelewa vyema zaidi kwenyd hilo ila kwa sababu ya ubishi utajitoa ufaham lakin ukweli unao kwa asilimia kubwa. Kuutetea uongo haimaanishi hau ujui ukweli
  5. peaceful boiiii

    CCM iko katika 'Peak' ya 'Kupendwa' na 'Kushinda' Chaguzi sijui hii peak itadumu kwa muda gani

    Watanzania sisi wenyew ndio tunaiua demokrasia kwa ushabiki wa kijinga jinga, ad sasa sioni sababu ya kuwa na upinzani kama demokrasia tunaikiuka kwa ushabik wakati ni dhahiri walio wengi wanataabika.
  6. peaceful boiiii

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool ni moto wa kuotea mbali wakuu, kwenye ukwel tuongee ukweli tu ushabik pembeni , binafs mi sio mshabiki wa liverpool ila wapo vzuri mno na game ya jana inazd kuthibtsha hilo ...... HONGERENI WANA ANFIELD
  7. peaceful boiiii

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Kusoma na mafanikio n vtu viwil tofaut kabisa, ajira nowdays n tatzo la kila mahali tz, u av to apply your knowledge in real life , maisha yaendelee ukingoja kuajiriwa kwa ulichokisomea utazeeka na vyeti vyako
  8. peaceful boiiii

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Inshort chuo chetu n kizuri sana ila siasa nyingi mno
  9. peaceful boiiii

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Hii kozi sio yakitoto ni dvt finance and investment planning kama unajua hesabu uziwez fanya uhame kozi tu, huku hesabu ndio nyumban kwao
  10. peaceful boiiii

    Je, huyu mwanamke ana nia ya dhati na huu uhusiano?

    A[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maimuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  11. peaceful boiiii

    Je, huyu mwanamke ana nia ya dhati na huu uhusiano?

    Upofuuuuuuuuuu tu uo uoni direction apo au ndio umeanza kupenda/ kujihusisha na mapenz juzi?
  12. peaceful boiiii

    Ninachumbiwa na mtanzania aishiye Denmark, naomba ushauri

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. peaceful boiiii

    Kwanini majina ya mwisho/ukoo huwa maarufu sana kuliko majina ya mwanzo?

    Kwa uelewa wangu nadhan ni kwa ajili ya upekee wake tofauti na ilivyo kwa majina ya mwanzo na yakati yanakua yanajirudia rudia hvyo hufanya utambulisho kuwa na utata kwa mfano John wapo wengi na aitoshi kukamilisha utambulisho wa mtu ila ukitumia jina la mwsho mfano Lissu, inaeleweka haraka zaid
  14. peaceful boiiii

    Mpenzi wangu wa miaka 19 huwa anaomba elfu 15 au 20 tu!

    We endelea kumuamini tu usipokuja na uzi wa kulalama hum utuletee mrejesho mkuu
Back
Top Bottom