Je, huyu mwanamke ana nia ya dhati na huu uhusiano?

Pole sana kwa kuwa King'ang'anizi pia pole tena kwa kuwa utatesa sana moyo wako.

Unapotaka mwanamke wa kuwa nae katika ndoa huna haja ya kumwambia mambo ya upendo mara pesa zinatafutwa, mwanamke aliye tayari na wewe hana haja ya kusikia hilo, anaona mwenyewe.

Na hii bembeleza yako kwa mwanamke inamfanya aone udhaifu wako, wewe kama mwanaume kuwa mwanaume kweli mambo ya MY MY MY uyaache muite kwa jina lake sio my my my My nini au Maimuna!

Huyo mwanamke kwanza anajivunia kukuweka kiganjani kwake nakwambia utapata taabu sana kama hauwezi kufanya moyo uone huyo mwanamke wa kawaida.

Mwisho: Naweza kujua jina lako siku nikisikia mtu kajiua kisa mapenzi nijue kama ni wewe au lah!

My my my maimuna.
Doh!
 
Yani nimechefukwa na hizo x kwenye sentensi. MTU anaandikaje kama amekatwa vidole sasa?

Huyo mwanamke hayuko serious kuanzia anavyoandika mpaka anachoandika
Sidhani kama huyu mwanamke naona atakuwa jibaba lililojifanya mdada(tapeli la mtandao)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wew unataka mzigo tu, una haraka kama unaoga nje. Kama umedhamiria kumpa hiyo ela mpe, hizo habari za kuifuata kwako hapo una lingine na heri uliweke wazi mapema na siyo kumuwekea mtego wa ela ili anase bandani.. Tuanze na ww je unania ya dhati na hayo mahusiano?! Kama ndio basi acha pupa mambo mazuri hayahitaji haraka. Na kama ni mabaya basi yatajionyesha tu.
 
Pole sana kwa kuwa King'ang'anizi pia pole tena kwa kuwa utatesa sana moyo wako.

Unapotaka mwanamke wa kuwa nae katika ndoa huna haja ya kumwambia mambo ya upendo mara pesa zinatafutwa, mwanamke aliye tayari na wewe hana haja ya kusikia hilo, anaona mwenyewe.

Na hii bembeleza yako kwa mwanamke inamfanya aone udhaifu wako, wewe kama mwanaume kuwa mwanaume kweli mambo ya MY MY MY uyaache muite kwa jina lake sio my my my My nini au Maimuna!

Huyo mwanamke kwanza anajivunia kukuweka kiganjani kwake nakwambia utapata taabu sana kama hauwezi kufanya moyo uone huyo mwanamke wa kawaida.

Mwisho: Naweza kujua jina lako siku nikisikia mtu kajiua kisa mapenzi nijue kama ni wewe au lah!

My my my maimuna.
 
Wew unataka mzigo tu, una haraka kama unaoga nje. Kama umedhamiria kumpa hiyo ela mpe, hizo habari za kuifuata kwako hapo una lingine na heri uliweke wazi mapema na siyo kumuwekea mtego wa ela ili anase bandani.. Tuanze na ww je unania ya dhati na hayo mahusiano?! Kama ndio basi acha pupa mambo mazuri hayahitaji haraka. Na kama ni mabaya basi yatajionyesha tu.
ha ha ha ha sasa nyinyi wadada mnafuraishaga sana kwenye kuliwa mzigo mnaona ni mapema sio

Wenzetu wazungu wanakaa kwenye mahusiano ya kimapenzi bila kukutana kimwili hata miezi 3.
Lakini kila mtu anatumia pesa zake akuna kupigana mizinga mpaka siku wanakuja kulila tunda likisha kuwa tayari kuliwa.
Sasa nyinyi wa kibongo mnataka muwe mnaomba pesa mnaudumiwa hata kizibitisho kwamba........... sasa mmeshakua mwili mmoja bado kaaa...
Wanaume tumechoka kumuudumia demu miezi miwiki kisha anakukimbia hata chupi ujamvua anakuja kukuchukulia wewe Fala, Boya, Mbulula
 
Pole sana kwa kuwa King'ang'anizi pia pole tena kwa kuwa utatesa sana moyo wako.

Unapotaka mwanamke wa kuwa nae katika ndoa huna haja ya kumwambia mambo ya upendo mara pesa zinatafutwa, mwanamke aliye tayari na wewe hana haja ya kusikia hilo, anaona mwenyewe.

Na hii bembeleza yako kwa mwanamke inamfanya aone udhaifu wako, wewe kama mwanaume kuwa mwanaume kweli mambo ya MY MY MY uyaache muite kwa jina lake sio my my my My nini au Maimuna!

Huyo mwanamke kwanza anajivunia kukuweka kiganjani kwake nakwambia utapata taabu sana kama hauwezi kufanya moyo uone huyo mwanamke wa kawaida.

Mwisho: Naweza kujua jina lako siku nikisikia mtu kajiua kisa mapenzi nijue kama ni wewe au lah!

My my my maimuna.
Amaimuna
 
Back
Top Bottom