Recent content by PEA

  1. PEA

    Maskini Watumishi wa Umma...Hii ndio serikali mnayoitumikia?

    Ukiongezea na wizi wa vifaa vya magari yetu bandari bado umelipwa mapema? Hongera sana...inaonekana wewe hukuwa na ushirika na Mgawe..
  2. PEA

    Nahitaji kulewa

    Kumbuka haiuzwi kwas wenye umri chini ya miaka 18...Kama hujawahi kabisaaaaa....anza tu na Vi Redds viwili vya chupa. Au kama vipi nikuletee ulanzi toka kwetu Makete?
  3. PEA

    Maskini Watumishi wa Umma...Hii ndio serikali mnayoitumikia?

    Kuna taarifa kwamba hali ndani ya Utumishi wa Umma imekuwa ya kutia shaka sana. Ni kwamba imefikia hatua ambayo serikali inashindwa kuwalipa hata mishahara hiyo midogo watumishi wake. Tumeona hapa miezi miwili iliyopita watumishi wengi walituthibitishia hapa kwamba ulipaji wa mishahara umekuwa...
  4. PEA

    Dr. Steven Ulimboka anarudi leo saa sita mchana

    Mods tafadhali...Huu ni uvunjifu wa sheria na taratibu. Apate stahili yake huyu
  5. PEA

    Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu

    Mkuu nafikiri tatizo linaanzia hapo kwenye unene, 100Kg sio mchezo. Najaribu ku imagine mimi ni nina 32 yrs na 55Kg sasa hizo 100 zitakuwaje. Any way sio swala la option hapo Mazoezi ni LAZIMA. Usiishie tu kumshauri bali uchukue hatua za kmpleleka tena kuwe na program maalum kabisa kwa ajili ya...
  6. PEA

    Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu

    Aise, pole sana ngoja waje wataalam hapa labda na wengine tutafaidi hapa
  7. PEA

    Barua yangu kwako Godilavu

    Nilijua tu kwamba ukiadimika utaibuka na kitu cha ukweli DA.
  8. PEA

    Halmashauri ya Wilaya Njombe yatangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika kata 14

    Kwenye bold kunahusika sana. Hakikisheni mnaburuza vilivyo na hiki ndio kipimo cha uchaguzi wa serikali za Mitaa wa 2014. Kila la heri Vanyakaye
  9. PEA

    UKATA: DR Ulimboka Kurudishwa Nchini

    Ndio Kamanda Ahmed Msangi. Kama wewe ndio Great Thinker wa CCM basi itakufa mapema kuliko wengi wetu tunavyotarajia. Wenzio tulipokuwa tunasoma Elimu dunia wewe ulikuwa unang'ang'ania tu Elimu akhera matokeo yake hata kiswahili tu kinakushinda....Kajipange upya
  10. PEA

    Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

    Na bado tunajiita wana demokrasia. Uko wapi uhuru wa Mahakama kama mhimili wa dola....
  11. PEA

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Kwa kweli huu ni ukatili uliovuka kiwango.....
  12. PEA

    Yamemkuta, anaomba ushauri

    Msaidie vizuri jirani yako.... atumie akili zake badala ya akili za kuambiwa. Anapoamua kuondoka ndio talaka au anataka apumzike kidogo? Kama ni talaka ahakikishe amefuata taratibu zote.... awaone viongozi wa dini waongee na mumewe, then wote wawili, kisha kama bado kuna haja ya kutengana aende...
  13. PEA

    Yamemkuta, anaomba ushauri

    Hilo ni tukio la ngapi? Mumewe kajiteteaje? Yeye bado anaipenda hiyo ndoa? Ukiacha hizo message kuna dalili nyingine mbaya ambazo mumwe kazionyesha kwa Mkewe? Huyo rafiki yako mpaka sasa kachukua hatua gani? Mumewe kaonyesha kujutia au amekomaa? Nijibu kwanza haya maswali
  14. PEA

    nimechoka na huyu mume msaada

    anatafuta huruma na visisngizio vya kukimbilia kwa hiyo mijamaa
  15. PEA

    nimechoka na huyu mume msaada

    Kama wanaume wangekuwa hivi basi wote wangekuwa wameachana na wake zao zamani sana. Duniani kuna mambo
Back
Top Bottom