Yamemkuta, anaomba ushauri

Mwambie kama hajamshika na mwanamke aendelee naye tu, inawezekana rafiki ya mme wake ame fwd message kwa mme wake ili amsomee...c unajua wanaume wengine hawajaenda shule.

Aisay mimi ndo kama mme wa huyo mwanamke basi ningemuambia brother wake ndo katuma ile message...eti ananionyesha yeye shujaa wa kupenda penda nje :biggrin:
 
..atulie tu aongee vyema na mmewe huku akitafuta wapi palipata nyufa na apazibe,hawala ni kiumbe asiye na haki ingawa ni mwerevu na makini ktk usafi wa mwili,akili na mtundu wa mambo flani..kitu ambacho hata walio kwenye ndoa wanaweza kuwa navyo..nachoogopa ninyi wamama wa leo umekosa kabisa nafasi za ku-update ufahamu wenu juu ya maisha na mahusiano,kiasi mwafanya studio zenu zikose mvuto,acheni usanturi/kunenepa bila mpangilio,ongezeni kiu ya kuyaboresha maisha yenu kila ki2 kitakuwa pouwa..
Angalizo: YALIYOMKUTA NI YA KAWAIDA SANA HUKU NJE TUKO SIYE AMBAO TUNAUMIZA ZAIDI KO ASIJARIBU KUJA ASIJE OMBA SUB NA PIPO ZA AHERA BURE..

Nashukuru kwa ushauri umefika kama ulivyo
 
Sasa ni vizuri kumwambia friend wako amu uliza my husband wake hivi; Je unampenda huyu dame. Kama unampenda nikupelekee posa kuliko kufanya zinnaa. Mjamaa mwenyewe ataacha upuuzi wake huo. Believe me that is true. It might have worked on me.
 
Hii nzuri sana...
 
Imetulia hiyo!
 
Mwambie kama hajamshika na mwanamke aendelee naye tu, inawezekana rafiki ya mme wake ame fwd message kwa mme wake ili amsomee...c unajua wanaume wengine hawajaenda shule.

Aisay mimi ndo kama mme wa huyo mwanamke basi ningemuambia brother wake ndo katuma ile message...eti ananionyesha yeye shujaa wa kupenda penda nje :biggrin:

Uongo huo umepitwa na wakati hakuna atakaye kubaliana na hilo. Hata kama ameforward rafiki wa mumewe ndo amwambie wakionana atampa dozi kubwa zaidi?
 
Uongo huo umepitwa na wakati hakuna atakaye kubaliana na hilo.
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.

Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Huyo alikuwa hajui kuwa mapenzi nikama taa ya umeme na simu ni kama switch,mapenzi huwashwa na simu na vile vile huzimwa na hiyo hiyo simu,sasa kama upo ndani ya mapenzi ukitaka kuishika simu ya mpenzi wako jua kuwa umejiandaa kulizima penzi lako!!
 
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.

Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.
Sawa kabisa.....
 
Habari zenu wana JF. Nina rafiki yangu na ni jirani yangu wa karibu ambaye katika story mara nyingi alipenda kumsifia mumewe kuwa ni mwaminifu kupita kiasi hawezi kumcheat. Kumbe inaonekana jamaa alikuwa na mazoea ya kutoka nje lakini alikuwa anazingatia vigezo na masharti ya kuwa na nyumba ndogo. Jana ikatokea km bahati mbaya jirani akawa anachezea simu ya mumewe mara akaingia katika inbox na kukutana na sms za mapenzi toka kwa hawala kuwa anamshukuru kwa penzi tamu alilompa kwenda kwenye sent item akakumbana na jibu la mumewe kuwa hiyo ilikuwa cha mtoto ngoja wakutane tena. Bibie akatoka amepanic na kuja kwangu huku analia anaomba ushauri afanye nini. Nimeamua kuwashirikisha ili walau nipate mawazo yenu nijue nimshauri nini kwa sababu hajajiunga JF.

Mshauri mkuu ni moyo wake! Anatakiwa apime njia gani ya kuendelea na ndowa au kujiondowa huku akiangalia faida za kila njia.
Ama pengine ingekuwa busara kumkabili kwanza mumewe na kutokana na matokeo ya makabiliano hayo ataweza kupima njia gani sahihi,

Nahofia atakaowaomba ushauri hawaelewi vizuri vipi mahusiano na mumewe yalivyo, au kuna vikwazo au vishikizi gani kwenye ndowa yao na mapenzi yao kwa ujumla
 
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.

Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.

Mwanamke hana kosa bali pengine Mwanamme alitegesha> Sote tunajuwa kuwa kuna vitu ukishapeleka unafuta haraka isiende kwenye Sent na ukipokea vitu vyengine inakuwa kama espionage unaweka rohoni na kufuta haraka kwenye simu. Ruhusa ya kutumia simu ya mmojawapo kunaengeza kuaminiana kwenye ndowa na wala si kosa kusoma simu ya mwenzio.
 
Unajua siku hizi uaminifu kwenye ndoa ni f ndio maana watu wanajihami na simu zao. Kwa mtazamo wangu kama wanandoa wanashea kila kitu kwanini inapofika kwenye simu iwe ni tatizo. Hapo mwanamke hana kosa kabisa na hakuangalia kwa nia ya kujua kama anacheat bali alikuwa tu anaichezea simu ya mumewe.
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Hata huyo mwanamke naye kapitwa na wakati....angekuwa anaenda na wakati asinge soma message za mme wake, sababu hazimuhusi yeye.

Kwa kuwa huyo mwanamke kapitwa na wakati huo uwongo unaenda sambamba na yeye bila wasi wasi.

Sidhani kama kusoma sms kwenye simu ya mumewe ni kupitwa na wakati. Anyway message derivered.
 
Habari zenu wana JF. Nina rafiki yangu na ni jirani yangu wa karibu ambaye katika story mara nyingi alipenda kumsifia mumewe kuwa ni mwaminifu kupita kiasi hawezi kumcheat. Kumbe inaonekana jamaa alikuwa na mazoea ya kutoka nje lakini alikuwa anazingatia vigezo na masharti ya kuwa na nyumba ndogo. Jana ikatokea km bahati mbaya jirani akawa anachezea simu ya mumewe mara akaingia katika inbox na kukutana na sms za mapenzi toka kwa hawala kuwa anamshukuru kwa penzi tamu alilompa kwenda kwenye sent item akakumbana na jibu la mumewe kuwa hiyo ilikuwa cha mtoto ngoja wakutane tena. Bibie akatoka amepanic na kuja kwangu huku analia anaomba ushauri afanye nini. Nimeamua kuwashirikisha ili walau nipate mawazo yenu nijue nimshauri nini kwa sababu hajajiunga JF.
Hilo ni tukio la ngapi? Mumewe kajiteteaje? Yeye bado anaipenda hiyo ndoa? Ukiacha hizo message kuna dalili nyingine mbaya ambazo mumwe kazionyesha kwa Mkewe? Huyo rafiki yako mpaka sasa kachukua hatua gani? Mumewe kaonyesha kujutia au amekomaa? Nijibu kwanza haya maswali
 
Back
Top Bottom