Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dogo1, Aug 12, 2012.

 1. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo lililonifanya nimshauri asiendeshe gari kwa usalama wake.

  Kulala kwenye gari amepunguza, tatizo limebaki akiwa nyumbani. Yani iwe mchana au usiku akiketi tu kwenye kochi baada ya dakika chache ameshapotea kwenye usingizi. Hali hiyo ndio inajitokeza hata tukiwa bedroom.

  Madhara yake ni kuwa nakosa muda wa kuongea nae lakini mbaya zaidi tunapoamua kuingia bed room kwa lengo la kupeana haki ya ndoa, ndio nachoka kabisa kwa sababu muda wa kufanya romance unakosekana kwa vile nikichelewa dakika kadhaa tayari amelala.

  Hali hii inanikosesha raha kwani katika maisha na mapenzi linapokuja suala la kitandani napendelea nipate ushirikiano katika kufanya maandalizi kuanzia kwenye kidole hadi kwenye utosi kabla sijazama katikati ya mapaja yake.

  Nimekuwa nikijadili nae hali hii lakini kwa masikitiko amekuwa akiniambia kua hana la kufanya kuhusiana tatizo la kulala kupita kiasi. Lakini zaidi huniambia nikihitaji tendo la ndoa nikiona amelala basi nitanue tu niingize!

  Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh!! Labda kuwaona wataalam itasaidia. Maana inaonekana hata kama ni usingizi, imepita kiasi.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mlishe gomba huyo.
   
 4. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poe! Mpeleke kwa matatibu! Wanaweza kumsaidia! Ila ungemuelewa mkeo na kumkubali na kukubali hali yake na kuamua kuendana nayo ingefaa zaidi! Pole once again!
   
 5. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Thanx Mdoe. Nimemkubali ndio niko nae na najitahidi kutafuta namna ya kumsaidia ili kurekebisha tatizo lake.
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Uende kwa wataalamu wa afya, fanya hima mkuu...pole kwa hilo tatizo maana siyo dogo!
  Nlikuwa nasoma na dada mmoja sec. yaani kila kipindi darasani alikuwa anasinzia, tukiwa tunasali anasinzia, tukiwa tunapiga stori anasinzia na usiku alikuwa anapumzika vizuri usingizi haukati mpaka wanafunzi&walimu wengi wakamfahamu kwa hilo..sijui anaendeleaje sasa ila usingizi ule haukuwa wa kawaida..
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mke wako ni mnene sana?

  Kama ndio mpigishe mazoezi ya JKT, jogging na ale matunda na mboga mboga kwa wingi. Apunguze vyakula vya mwanga na mafuta.

  Aache kunywa jamii ya coca cola badala yake anywe maji ya dafu au ya kawaida tu na atumie mafuta ya nazi katika mapishi.

  Kama ni mwembamba sana, mpe lishe ya kutosha na mazoezi.

  Asipopata nafuu, mwone mganga/ daktari kwa ushauri na vipimo.
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Zaidi ya kumpeleka kwa wataalam wa afya ya mwili na akili jaribu kuchunguza hygiene yake ya maisha. Sometimes what we eat or what we do/don't do could increase our need of sleeping hours. Binadam wa kawaida, adult, anahitaji not less than 5 hours sleep every 24hrs, kwa kuweza kufunction properly. wengi, sababu ya mtindo wa maisha tunalazimisha kulala hadi 8 hours, but 5 would acrtually be enough. Kufatana na hayo unayo sema hapo, nadhani mke wako kazidisha hata hizo 8. Jaribu haya:

  - Afanye mazoezi. Unaweza kudhani kua mazoezi yatamchosha na atalala, which is true, ila yanaweza kusaidia kukusanya sleeping hours zote zikae in a single period. badala ya kulala saa mbili mchana, then saa mbili jioni, halafu tena masaa nane usiku, anaweza kulala tu masaa kumi usiku na akawa up mchana. Pia exercise itaongeza alertness yake na kupunguza hali ya uchovu.

  - Abadili diet, ale mboga na matunda sana, apunguze nyama. Mwili wetu unatumia energy nyingi sana ku-digest nyama. Kama anakula nyama nyingi, maybe she is weak because she lacks energy. her body needs to put everything in standby mode until it has digested the food she is having. If need be she culd use suplements (apate ushauri wa daktari au nurse kuhusu the right ones, the onesw she really need)

  - Kama anakunywa alcohol apunguze, inapunguza metabolic process. kama anavuta sigara apunguze pia. katika "kurelax" kuna kausingizi kanakuja

  - Kama ni mnene ajaribu kupunguza uzito. she uses all her energy for normal metabolic functions. For a quick solution anaweza kunywa kahawa nyingi, but this is not sustainable in the long run.

  - kama ana kazi ngumu ya kuchosha mwili au akili ajaribu kugawa masaa ya kazi kwa 30 min break for every 2 hours of concentration. inaweza kusaidia kubaki alert

  - Ajaribu meditation (relaxed-but-alert methods would require her to meditate in lotus position with her eyes opened). Kama ni muumin asali na kumuomba Mungu njia ya ku-improve

  - (This one is a bit tough to swallow): jaribu pia kumchunguza, akiwa na watu wengine inakuaje? maybe you are the problem, she is bored with you and sleeps whenever you are around because you can't keep her awake or simply because she'd rather sleep than having your company or having to have sex with you. too long preliminaries can be boring if they don't respond appropriately to her needs of the moment.

  Usichoke kuongea nae... good luck
   
 9. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja.
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Well said Roulette tatizo sioni kitufe cha like hapa..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  - (This one is a bit tough to swallow): jaribu pia kumchunguza, akiwa na watu wengine inakuaje? maybe you are the problem, she is bored with you and sleeps whenever you are around because you can't keep her awake or simply because she'd rather sleep than having your company or having to have sex with you. too long preliminaries can be boring if they don't respond appropriately to her needs of the moment.

  sichoke kuongea nae... good luck

  Nimeipenda hii, inawezekana sana tu maana wamama kwa kuact"!!!!!"
   
 12. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,416
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Mimi nathani atakuwa mnene sana afya mgogoro. Nahsi anampenda mumewe sema labda kweli ni usingizi. Pia nachoona kwao hawana activities na mara nyingi kwao ni kazi nyumbani. Badilisheni life style kidogo na pia mazingira ya kufanya au kula urida sio lazima iwe kitandani chumbani kwako. Mpeleke hotel nzuri mlale huko weekend, kwakifupi. Spice up things, mapenzi, maongezi nk. Naamini huyo mama hatakuwa amekuchoka, ni uvivu tu au kweli ni kuchoka. Pia uwe na coffee time as well then have sex
   
 13. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 14. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,135
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  Mungu akubariki sana ndugu yng kwa kupoteza muda wako na kumsaidia binadamu mwenzio,guys like you make jf to be real home of great thinkers.
   
 15. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nakushuru kwa ushauri. Mke wangu ni mnene, uzito wake ni km 100kg, umri wake 38 anajitahidi kula sana, anapenda vya sukari sana, hafanyi mazoezi na hanywi pombe.

  Nimejitahidi kumshauri afanye mazoezi, apunguze weight, aache sukari sukari lakini bado kimsingi sijafanikiwa. Binafsi nafanya mazoezi ili ku -maintain my shape and good health. She likes sex so much as i do, we match in everything when it comes to love making.

  Tatizo kubwa ni usingizi wake coz well nikimwamsha kila kitu kinakwenda sawa kama hajalala vile coz she like it alwayz. What i need is to help her angalau apunguze kulala the way she does.

  Nitafanyia kazi ushauri wenu
   
 16. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,682
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Lakini sio vizuri kuleta dhihaka Kwenye vitu Kama hivi.


   
 17. PEA

  PEA Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise, pole sana ngoja waje wataalam hapa labda na wengine tutafaidi hapa
   
 18. PEA

  PEA Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nafikiri tatizo linaanzia hapo kwenye unene, 100Kg sio mchezo. Najaribu ku imagine mimi ni nina 32 yrs na 55Kg sasa hizo 100 zitakuwaje. Any way sio swala la option hapo Mazoezi ni LAZIMA. Usiishie tu kumshauri bali uchukue hatua za kmpleleka tena kuwe na program maalum kabisa kwa ajili ya weight loss, ajipangie kwamba baada ya muda fualni apunguze hata 10Kg hivi.
  Usipofanya hivyo sasa akifika kwenye 50's uwe umeshaanda na hela ya matibabu kabisa na atakapofika 60 atakuwa choka mbaya. Mimi wa kwangu mnene na ana kilo 75 lakini nimejipanga kwamba asiongeze tena zaidi ya hapo
   
 19. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  ni kweli mkuu unajua hili tatizo inawezekana linawakabili wengi isipokua watu wanachukulia poa tu alimradi maisha yanaenda.
   
 20. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  nakubali unayosema mkuu, u know tayari wife wangu ana tatizo la pressure!
   
Loading...