Recent content by paul david

  1. P

    Nimenogewa kwa mke wa mtu, mtoto wa Moshi

    Wachaga cku hizi matatizo kama hayo ya kumegewa wapenzi/wake huwa wanayatatua kwa risasi tu basi kesi inaisha kwa hiyo nawe suburi
  2. P

    Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    Kibanda nae keshaanza taratibu harakati za kisiasa!!
  3. P

    Anataka kuoa CHANGUDOA, ni CHANGAMOTO zipi atakumbana nazo katika Maisha yake ya NDOA?

    Anabadilika tu kama kweli ameamua kuolewa lakin kama anataka tu kuondoa mkosi jamaa ajiandae kugongewa kila cku
  4. P

    Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    Huyo mama mkwe hajatulia hata we ukimtokea lazima ugonge mzigo!!!
  5. P

    Wanawake wote mngekuwa mnafanya hivi, hakika waume zenu wasingekuwa na nyumba ndogo

    Ni sawa lakin mkishazoeana hayo mambo huwa hayapo jaman tusidanganyane kabisa, mwenzio akikubusu unaona ananuka mdomo!!!!!!
  6. P

    Kwa nini wanawake wa siku hizi wanataka ndoa kinguvu

    Niliwahi kutest kutoa tangazo gazetin la kusaka mchumba...weeee yani cku gazet limetoka had kufika saa sita tyar nina wachumba zaid ya 260,ilinishangaza sn nikabaki najiuliza....wanataman kuolewa ili kuondoa nux,kwa sababu ya hali ngumu ya maisha au labda wako wengi sn kuliko wanaume bado...
  7. P

    Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

    Hakupata alichokitarajia huko alikokimbilia ndo maana anataka kurud kwa gia za kizaman ili uendelee kula mzigo kuwa nae makin huyo atakuingiza kwny majanga bure
  8. P

    CHADEMA yavifunika vyama vyote vya siasa nchini

    Siasa za kitanzania ni kama mchezo wa mpira wa miguu ulivo, hauwez kujipa matumain ya 100% kuwa ss chama flan kimekomaa na kinakwenda kukamata dola, tunachopaswa ni kusubir had mwisho wa mchezo tu, maana matokeo ya hizi siasa zetu huwa ni ya kubadilika any time,halafu tunabaki kupiga kelele tu...
  9. P

    Nani yuko macho tupige stori?

    Mimi hapa
Back
Top Bottom